King klax
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 4,307
- 2,754
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mimi nahisi hivyo,,Kama wamepona wawaruhusu tu,sioni ubaya
Ni wagonjwa wa kawaida au wa corona maana ni wa corona hii ni hatari
Ni Mungu anajua ndugu. Na wale ambao wanajihi na wako majumbani wataogopa kwenda kujikabidhi hospitali kwa sababu hawatakuwa na huduma, watakua tayari kufia kwa waganga wa kienyeji ama majumbani kwao.Assume baadhi ya hao wagonjwa wapande mabasi kwenda kwa waganga huko mikoani au kutambika mizimu, rate ya spread itakuwaje?
Tuna tatizo la uongozi katika nchi hii
Lakini hio lock down ya siku 14 si iko kitaalamu zaidi? Maana yake ni kwamba kirusi kinaonekana zaidi baada ya muda huo, kwa sababu ndio muda wake wa kujionesha. Tusipuuze maoni ya watalaamu wa afyaLakini Magu alisema hakuna haja ya kumuweka mtu ndani kwa siku 14 nadhani wameitendea haki kauli yake
Sent using Jamii Forums mobile app
#BreakingNews:Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.
ITV habari
View attachment 1427689
Kwa mujibu wa mtoa taarifa mgonjwa ndugu yangu yupo pale amana tokea juzi anasema hakuna mgonjwa aliyetoroka
Naisikia Magufuli hosteli watu wameshaondoka leo hii. Wamerudi makwaoLakini Magu alisema hakuna haja ya kumuweka mtu ndani kwa siku 14 nadhani wameitendea haki kauli yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulete ubishi wa kijinga watu walio amana sio wagonjwa mahututiMgonjwa wa Covid-19 ambae anashindwa hata kupumua ataweza kubeba maiti? Maana huu ugonjwa unaathiri sana mfumo wa hewa kwa muda mfupi sana.
Tunaelekea disorder and chaos.Hii ni trela tu...movi lenyewe bado halijaanza....!!
Mh... Sio kila andiko linapaswa kujibiwa.Ulete ubishi wa kijinga watu walio amana sio wagonjwa mahututi
Mahututi wapo mloganzira
Amana watu wapo fiti hata Paring ya mtu mbili wanaweka
Corona hata ww hapo unaweza kuwa nayo endapo kama utapata bahati ya kupimwa..
Sent using Jamii Forums mobile app