Sasa kama mtu anaona keshapata nafuu na tayari tumeambiwa kujifukizia na maji ya moto hospitalini anakaa kufanya nini?Swali la kujiuliza wameondoka au wametoroka kwa sababu gani?
Cc johnthebaptist thetallest Crimea jingalao Bia yetu
Bila shaka mheshimiwa atasema wasibughuziwe, waachwe warudi nyumbani kujifukiza
DuuhSophia simba anaficha ukweli
Ukweli ni huu hapa
Jana kuna mwanamke amefariki katika wodi ya corona
Madaktari na wauguzi awataki kuchukua ile maiti
Maiti imeshinda wodini kutwa nzima ya jana
Ikabidi wagonjwa wakaichukua ile maiti mbaka ofisi ya madaktari
Wakasema wagonjwa kama nyie Mnaona kukaa na maiti sio kesi kaeni nayo nyie
Madaktari, manesi na wauguzi pamoja na mapolisi wote kwa pamoja wakatoka nduli kila mtu na njia yake
Ndio sasa vurugu zikaanzia hapo wagonjwa wakavunja mageti wakarusha mawe
Kufika usiku ndio huduma zikarejea na wagonjwa wakaombwa msamaha
Hiyo ndio hali halisi ya Amana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka kujiona na akili kuliko Mh.Rais. Yaani unakataa dawa zetu za kienyeji kusudi upate 10℅ ya madawa ya mabeberu. Umekwama aiseeHospitalini hawapatiwi dawa kwasababu madaktari na manesi wanaogopa kuambukizwa kwani hawana vitendea kazi vya kujikinga na maambukizi [PPE]; mkuu wa nchi nae anakuja na kusema watu watumie dawa za kienyeji kama kujifukiza kunaponya covid-19!!! Matokeo yake ndio havo wagonjwa wanarudi nyumbani kujifukiza. Matamshi ya Magufuli hayasaidii nchi kupambana na huu ugonjwa bali yanaleta maafa zaidi kwa jamii.
Bunge letu ni imara sana..ata nchi zingine zinatuiga sisi.Tusitishane nduguTungekua na Bunge lenye meno lingeilazimisha serikali kuchukua hatua. Bunge ni rubber stamp tu kwa sababu kwa nyakati hizi ilifaa wafanye vikao vya budget ya dharura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana wa chatolile wapo ukumbi wa nyumbani wakitumbuiza nyimbo yao mpya coooro coronaaaFICHA FICHA JAZZ BAND.
Wagonjwa wanaogopwa, yaani ni mama wameenda kusubilia muda wao wa kufa ufike, kuna jamaa yangu kule ananiambia acha kabisa
Daaa noma sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Good!Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.
Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe
---------
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi Sophia Simba amesema kuwa kulikuwa na wagonjwa ambao walikuwa hawataki kuendelea kukaa hospitali kwa kuwa walikuwa wanajihisi hawaumwi sana.
Hivyo akasema ikumbukwe kuwa mtu akifika hospitali kwa kuhisiwa kuwa na maambukizi ni lazima akae aangaliwe kwanza ndipo aruhusiwe lakini wao walikuwa hawataki bali walikuwa wanataka kurudi nyumbani.
Akasema pia hana hakika kama kweli kuna vurugu zilizotekea isipokuwa wagonjwa walikuwa wanapiga kelele wanataka kurudi nyumbani.
Pia akasema hana hakika kama kweli kuna wagonjwa ambao wametoroka hivyo wanafuatilia swala hilo kwa walinzi wa hospitali ili kujua kama ni kweli wametoroka basi wafatilie ni wagonjwa wangapi na wawafatilie wapo wapi.
''Hili hatuna taarifa hiyo bado hivyo ngoja tulifatilie kwa upande wa wenzetu maaskari wanaolinda hapo na kama wametoroka watakuwa wameendea wapi maana kama mtu alikuwa amehisiwa na anajulikana alitokea wapi hivyo atakwenda kufatiliwa kwenye mtaa aliotekea na atapatikanaili asiweze kwenda kueneza magonjwa kwa watu wengine''
Kwa sasa hospitalini hapo hali ni shwari hakuna tatizo lolote hivyo watulie tu wafatilie taratibu za hospitali na wale ambao wataonekana hawana tatizo wataruhusiwa na kuondoka.
Anasema kuwa watu wana hofu hivyo mtu akijiona hana dalili za ugonjwa kama mafua, kukohoa na kichwa kuuma ni kawaida kwa binadamu kutamani kuondoka, lakini kama alichukuliwa kwa kuwa na viashiria basi ni vyema wakatulia hospitali mpaka taratibu rasmi.
Na wale walio na viashiria hata wakirudi mtaani nako huko watu watawakimbia watawaambia warudi kwanza hospitali wapone ndipo warudi hospitali.
Na pia Amesema wananchi watulie wasikilize serikali inawaambia nini maana kama mgonjwa amepelekwa hospitali kwa kuwa na viashiria vya ugonjwa basi ni bora akatulia asubirie taratibu za hospitali, maana unaweza kaa siku mbili ukijiona kuwa u mzima na na baada ya siku mbili ukawa mgonjwa, hivyo ni bora kusubiri uruhusiwe kwa taratibu zilizowekwa maana hospitali sio jela bali ni kwa aliji ya kuangalia afya.
Tatizo hapa ni jiwe.Hvi huyu rais hashauriki maana hajui aongee nini na wakati gani?Kutoroka kumehalalishwa na hotuba yake iliyokosa utulivu na utu yey analipuka tu.Siku zote tukiwa katika matatizo bora akae kimya maana ni confussor ,hajui kuiadress public ikiwa kwenye matatizo makubwa.Bila shaka takwimu zijazo zikawa fake ili kufurahisha nafsi yake,yey anatka wagonjwa waliipona wawe wengiMkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.
Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe
---------
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi Sophia Simba amesema kuwa kulikuwa na wagonjwa ambao walikuwa hawataki kuendelea kukaa hospitali kwa kuwa walikuwa wanajihisi hawaumwi sana.
Hivyo akasema ikumbukwe kuwa mtu akifika hospitali kwa kuhisiwa kuwa na maambukizi ni lazima akae aangaliwe kwanza ndipo aruhusiwe lakini wao walikuwa hawataki bali walikuwa wanataka kurudi nyumbani.
Akasema pia hana hakika kama kweli kuna vurugu zilizotekea isipokuwa wagonjwa walikuwa wanapiga kelele wanataka kurudi nyumbani.
Pia akasema hana hakika kama kweli kuna wagonjwa ambao wametoroka hivyo wanafuatilia swala hilo kwa walinzi wa hospitali ili kujua kama ni kweli wametoroka basi wafatilie ni wagonjwa wangapi na wawafatilie wapo wapi.
''Hili hatuna taarifa hiyo bado hivyo ngoja tulifatilie kwa upande wa wenzetu maaskari wanaolinda hapo na kama wametoroka watakuwa wameendea wapi maana kama mtu alikuwa amehisiwa na anajulikana alitokea wapi hivyo atakwenda kufatiliwa kwenye mtaa aliotekea na atapatikanaili asiweze kwenda kueneza magonjwa kwa watu wengine''
Kwa sasa hospitalini hapo hali ni shwari hakuna tatizo lolote hivyo watulie tu wafatilie taratibu za hospitali na wale ambao wataonekana hawana tatizo wataruhusiwa na kuondoka.
Anasema kuwa watu wana hofu hivyo mtu akijiona hana dalili za ugonjwa kama mafua, kukohoa na kichwa kuuma ni kawaida kwa binadamu kutamani kuondoka, lakini kama alichukuliwa kwa kuwa na viashiria basi ni vyema wakatulia hospitali mpaka taratibu rasmi.
Na wale walio na viashiria hata wakirudi mtaani nako huko watu watawakimbia watawaambia warudi kwanza hospitali wapone ndipo warudi hospitali.
Na pia Amesema wananchi watulie wasikilize serikali inawaambia nini maana kama mgonjwa amepelekwa hospitali kwa kuwa na viashiria vya ugonjwa basi ni bora akatulia asubirie taratibu za hospitali, maana unaweza kaa siku mbili ukijiona kuwa u mzima na na baada ya siku mbili ukawa mgonjwa, hivyo ni bora kusubiri uruhusiwe kwa taratibu zilizowekwa maana hospitali sio jela bali ni kwa aliji ya kuangalia afya.
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.

Wakuu naomba nielimishwe. Hawa walio amana si ndio wale waliopimwa na kuthibitishwa kuwa na tatizo au? Aliosema magu waachwe sio wale walio kule hosteli za magu wale ambao wamewekwa ila hawajapimwa[emoji56][emoji56][emoji56]??Tatizo hapa ni jiwe.Hvi huyu rais hashauriki maana hajui aongee nini na wakati gani?Kutoroka kumehalalishwa na hotuba yake iliyokosa utulivu na utu yey analipuka tu.Siku zote tukiwa katika matatizo bora akae kimya maana ni confussor ,hajui kuiadress public ikiwa kwenye matatizo makubwa.Bila shaka takwimu zijazo zikawa fake ili kufurahisha nafsi yake,yey anatka wagonjwa waliipona wawe wengi
Kuendelea kuwepo kwa JF ni jukumu letu sote. Si jukumu la Moderators pekee. Popote unapoona kuna tatizo linaloweza kuwatia msukosuko wasimamizi wa mtandao huu ni lazima(kama unaitakia mema JF) kuwasitua kwa kubonyeza kitufe cha report ama kuandika post kama nilivyofanya. Tuwe wamoja katika kuhakikisha JF inaendelea kuwepo bila matatizo. Karibu.mkuu siku hizi una uwezo wa kubadilisha kichwa cha habari cha member bila shida badilisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app