Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Bila shaka mheshimiwa atasema wasibughuziwe, waachwe warudi nyumbani kujifukiza

Hospitalini hawapatiwi dawa kwasababu madaktari na manesi wanaogopa kuambukizwa kwani hawana vitendea kazi vya kujikinga na maambukizi [PPE]; mkuu wa nchi nae anakuja na kusema watu watumie dawa za kienyeji kama kujifukiza kunaponya covid-19!!! Matokeo yake ndio havo wagonjwa wanarudi nyumbani kujifukiza. Matamshi ya Magufuli hayasaidii nchi kupambana na huu ugonjwa bali yanaleta maafa zaidi kwa jamii.
 
This could be positive response of y' days' speech!. Yes, this was expected wanaenda kujivundika ndani kwenye moshi as they were advised.
 
Sophia simba anaficha ukweli
Ukweli ni huu hapa
Jana kuna mwanamke amefariki katika wodi ya corona

Madaktari na wauguzi awataki kuchukua ile maiti
Maiti imeshinda wodini kutwa nzima ya jana
Ikabidi wagonjwa wakaichukua ile maiti mbaka ofisi ya madaktari
Wakasema wagonjwa kama nyie Mnaona kukaa na maiti sio kesi kaeni nayo nyie

Madaktari, manesi na wauguzi pamoja na mapolisi wote kwa pamoja wakatoka nduli kila mtu na njia yake

Ndio sasa vurugu zikaanzia hapo wagonjwa wakavunja mageti wakarusha mawe

Kufika usiku ndio huduma zikarejea na wagonjwa wakaombwa msamaha
Hiyo ndio hali halisi ya Amana

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospitalini hawapatiwi dawa kwasababu madaktari na manesi wanaogopa kuambukizwa kwani hawana vitendea kazi vya kujikinga na maambukizi [PPE]; mkuu wa nchi nae anakuja na kusema watu watumie dawa za kienyeji kama kujifukiza kunaponya covid-19!!! Matokeo yake ndio havo wagonjwa wanarudi nyumbani kujifukiza. Matamshi ya Magufuli hayasaidii nchi kupambana na huu ugonjwa bali yanaleta maafa zaidi kwa jamii.
Mkuu unataka kujiona na akili kuliko Mh.Rais. Yaani unakataa dawa zetu za kienyeji kusudi upate 10℅ ya madawa ya mabeberu. Umekwama aisee
 
Swali ambalo linahitajika na taarifa kadhaa Waziri wa afya aulizwe . Waginjwa wakitoka hospitali wakiwekwa karantini wanapata huduma gani, ikiwa corona Haina Dawa, Kuna nafasi ya kutosha ya kuhifadhi waginjwa kwa social distance,

Je vifaa tiba na nahitaji muhimu Kama barako , sanitizer, malazi Yana ubora kiasi gani na wanapatiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani.

Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

---------

Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi Sophia Simba amesema kuwa kulikuwa na wagonjwa ambao walikuwa hawataki kuendelea kukaa hospitali kwa kuwa walikuwa wanajihisi hawaumwi sana.

Hivyo akasema ikumbukwe kuwa mtu akifika hospitali kwa kuhisiwa kuwa na maambukizi ni lazima akae aangaliwe kwanza ndipo aruhusiwe lakini wao walikuwa hawataki bali walikuwa wanataka kurudi nyumbani.

Akasema pia hana hakika kama kweli kuna vurugu zilizotekea isipokuwa wagonjwa walikuwa wanapiga kelele wanataka kurudi nyumbani.

Pia akasema hana hakika kama kweli kuna wagonjwa ambao wametoroka hivyo wanafuatilia swala hilo kwa walinzi wa hospitali ili kujua kama ni kweli wametoroka basi wafatilie ni wagonjwa wangapi na wawafatilie wapo wapi.

''Hili hatuna taarifa hiyo bado hivyo ngoja tulifatilie kwa upande wa wenzetu maaskari wanaolinda hapo na kama wametoroka watakuwa wameendea wapi maana kama mtu alikuwa amehisiwa na anajulikana alitokea wapi hivyo atakwenda kufatiliwa kwenye mtaa aliotekea na atapatikanaili asiweze kwenda kueneza magonjwa kwa watu wengine''

Kwa sasa hospitalini hapo hali ni shwari hakuna tatizo lolote hivyo watulie tu wafatilie taratibu za hospitali na wale ambao wataonekana hawana tatizo wataruhusiwa na kuondoka.

Anasema kuwa watu wana hofu hivyo mtu akijiona hana dalili za ugonjwa kama mafua, kukohoa na kichwa kuuma ni kawaida kwa binadamu kutamani kuondoka, lakini kama alichukuliwa kwa kuwa na viashiria basi ni vyema wakatulia hospitali mpaka taratibu rasmi.

Na wale walio na viashiria hata wakirudi mtaani nako huko watu watawakimbia watawaambia warudi kwanza hospitali wapone ndipo warudi hospitali.

Na pia Amesema wananchi watulie wasikilize serikali inawaambia nini maana kama mgonjwa amepelekwa hospitali kwa kuwa na viashiria vya ugonjwa basi ni bora akatulia asubirie taratibu za hospitali, maana unaweza kaa siku mbili ukijiona kuwa u mzima na na baada ya siku mbili ukawa mgonjwa, hivyo ni bora kusubiri uruhusiwe kwa taratibu zilizowekwa maana hospitali sio jela bali ni kwa aliji ya kuangalia afya.

Good!
 
Tatizo hapa ni jiwe.Hvi huyu rais hashauriki maana hajui aongee nini na wakati gani?Kutoroka kumehalalishwa na hotuba yake iliyokosa utulivu na utu yey analipuka tu.Siku zote tukiwa katika matatizo bora akae kimya maana ni confussor ,hajui kuiadress public ikiwa kwenye matatizo makubwa.Bila shaka takwimu zijazo zikawa fake ili kufurahisha nafsi yake,yey anatka wagonjwa waliipona wawe wengi
 
Sasa kama mtu amelazwa na amejitathmini akaona Haumwi tena na akagundua kua madaktari wanamwekea kauzibe asiondoke na yeye sio mfungwa ......
 
Tatizo hapa ni jiwe.Hvi huyu rais hashauriki maana hajui aongee nini na wakati gani?Kutoroka kumehalalishwa na hotuba yake iliyokosa utulivu na utu yey analipuka tu.Siku zote tukiwa katika matatizo bora akae kimya maana ni confussor ,hajui kuiadress public ikiwa kwenye matatizo makubwa.Bila shaka takwimu zijazo zikawa fake ili kufurahisha nafsi yake,yey anatka wagonjwa waliipona wawe wengi
Wakuu naomba nielimishwe. Hawa walio amana si ndio wale waliopimwa na kuthibitishwa kuwa na tatizo au? Aliosema magu waachwe sio wale walio kule hosteli za magu wale ambao wamewekwa ila hawajapimwa[emoji56][emoji56][emoji56]??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu siku hizi una uwezo wa kubadilisha kichwa cha habari cha member bila shida badilisha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuendelea kuwepo kwa JF ni jukumu letu sote. Si jukumu la Moderators pekee. Popote unapoona kuna tatizo linaloweza kuwatia msukosuko wasimamizi wa mtandao huu ni lazima(kama unaitakia mema JF) kuwasitua kwa kubonyeza kitufe cha report ama kuandika post kama nilivyofanya. Tuwe wamoja katika kuhakikisha JF inaendelea kuwepo bila matatizo. Karibu.
 
luck,
Kuna walikwepo pale wenye corona na ambao walikua wanasubiri majibu ila walikua na dalili zote za corona
 
FE31A9DF-22F5-4CBA-9286-35E9D983B8D0.jpeg

Hizo ni figure za wiki kadhaa nyuma EU and US.

Kwa sababu awapimi na kutibu kila mtu confirmed cases (severe) ni wagonjwa wenye hali mbaya na ndio wanaopewa huduma hospitali. Hawa ndio wanatajwa kwenye takwimu wanazotoa kila siku za wagonjwa kwenye update zao.

Estimated cases ni (mild na moderate) wagonjwa ambao hawana vigezo vya kupokelewa hospitali kupunguza health services zisidiwe kwa ivyo wajitibu wenyewe majumbani na hawa wala hawapo kwenye takwimu zinazotolewa kila siku ndio tuelewe ukubwa wa tatizo lenyewe wakisema waangaike na kila mtu.

Hivi kama hao matajiri wameshindwa kutibu kila mtu mwenye Corona sisi tutaweza kweli kutaka kila mwenye dalili za Corona aende hospitali.

Maamuzi wanayochukua wenzetu sio kwa kupenda bali ni ya lazima; halafu eti kuna timu ziliundwa za kupambana na Corona.

The whole thing is shambolic na madhara yatazidi kuwa makubwa kama hawa jamaa awatabadilisha strategy.
 
Mgonjwa kuondoka haulizwi daktari au daktari muangalizi au nesi kwenye ward husika bali mlinzi wa geti la kuingilia au kutoka![emoji15][emoji15]

Tumefika hatua mbaya sasa!!
 
Siyo kama watu wahawati kukaa hospital sababu wanajiona hawaumwi sana...

Bila shaka huduma ni mbovu na huenda wagonjwa wapo wengi... Return Of Undertaker,
 
Back
Top Bottom