Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

Tunaipongeza Serikali ya awamu ya tano. Kwa kuonesha juhudi Katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19. Hakika ni Serikali ya kuigwa.
 
Kila kitu kilikuwa zigzaga kwenye press ya Bwana Mkubwa, sijui tatizo lipo wapi mpaka unajiuliza hakuna mtu wa kumwambia Mzee hapa hapana.
Unajiuliza nani alimdangamya kuwa Kuna mtu anaweza kuweka virus kwenye Barakoa na yeye akaamini, vurugu zote hizi dunia nzima inahangaika halafu mtu akae kiwandani afanye kazi ya kujaza makorona kwenye Mask, hili hata ningeambiwa mimi ningetumia akili ya mbayuwayu
Nadhani alimsikia mhubiri mmoja uchwara kuna siku alizungumzia barakoa na masuala ya chanjo. Yule ambaye anawafufua wasiokufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jionee mwenyewe
Unajua Makonda kwa papara zake amejikuta anatoa siri ''watu wanapukutika''. Siyo kama ni uongo ila ni kweli tupu. Watu wengi wanakufa lakini serikali inaficha. Kwa wale wanaoishi karibu na sehemu wanakozikia kama Mbweni nk wakifanya upelelezi usiku watagundua.

Hali ni mbaya. Ila nadhani labda kikao cha jana cha wakuu wa vyombo vya usalama watakuwa wamekuja na mkakati mwingine wa kufanya sehemu za kuzikia kuwa siri zaidi kwani huu wa kuzika usiku ulikuwa umeshaanza kushtukiwa.
 
Hivi kwanini Jiwe anahasira sana? Ana hasira na Nani?
 
nawaza vile jinsi Piere anatoroka 🤣
71917C11-5E0D-4AB6-8A20-79E423A09665.jpeg
 
Duh! sasa ungekuwa marekani au italy ungesemaje?
Mkuu watanzania wengi tunaumwa, si unajua corona alivyo bingwa wa kumalizia? Mfano subiri aingine Bungeni kwa kina Ndugai ,mbona bunge litajiahirisha lenyewe
 
Back
Top Bottom