Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Ana uhuru wa kusema, tumia uhuru wako na wewe kukosoa alichosema kwa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana uhuru wa kusema, tumia uhuru wako na wewe kukosoa alichosema kwa hoja.
Hakuna aliyetoroka na hata ikithibitika mgonjwa mmoja au wawili wakawa hawaonekani watawafuatilia majumbani kwao kwa kuwa wagonjwa wote wanajulikana!Tufafanulie aliyosema DC Mjema
Nadhani alimsikia mhubiri mmoja uchwara kuna siku alizungumzia barakoa na masuala ya chanjo. Yule ambaye anawafufua wasiokufa.Kila kitu kilikuwa zigzaga kwenye press ya Bwana Mkubwa, sijui tatizo lipo wapi mpaka unajiuliza hakuna mtu wa kumwambia Mzee hapa hapana.
Unajiuliza nani alimdangamya kuwa Kuna mtu anaweza kuweka virus kwenye Barakoa na yeye akaamini, vurugu zote hizi dunia nzima inahangaika halafu mtu akae kiwandani afanye kazi ya kujaza makorona kwenye Mask, hili hata ningeambiwa mimi ningetumia akili ya mbayuwayu
Na huo ndo uzalendo, wakina mkapa walimkaririsha hapa kazi tu basi imekuwa shida,yaani yeye kila sehemu ni kachape kazi,shida kweli kweliRais yuko upande wa adui.
Unajua Makonda kwa papara zake amejikuta anatoa siri ''watu wanapukutika''. Siyo kama ni uongo ila ni kweli tupu. Watu wengi wanakufa lakini serikali inaficha. Kwa wale wanaoishi karibu na sehemu wanakozikia kama Mbweni nk wakifanya upelelezi usiku watagundua.jionee mwenyewe
Mwingine huyu hapa mwanaume aliyekamilika, wanawake kaeni kimya, na wanaume msiokamilika kaeni kimya
View attachment 1428149
Duh! sasa ungekuwa marekani au italy ungesemaje?Sujui kama tutauona 2021
Mkuu watanzania wengi tunaumwa, si unajua corona alivyo bingwa wa kumalizia? Mfano subiri aingine Bungeni kwa kina Ndugai ,mbona bunge litajiahirisha lenyeweDuh! sasa ungekuwa marekani au italy ungesemaje?
Mkuu unataka kujiona na akili kuliko Mh.Rais.
Sujui kama tutauona 2021
Mkuu mimi nasemea yaliyopo hapo hayo ya Italia sijui Marekani hayanihusu wala kunisaidia ,jua fimbo ya mbali haiui nyoka.Duh! sasa ungekuwa marekani au italy ungesemaje?