Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

Miaka 59 imetosha
Delete ccm Oct 28
 
Wajumbe,
Naendelea kusoma ilani ya chama cha mapinduzi
Ukisoma ukurasa wa tano, una kipengele kinasema watatengeza ajira milioni 8, ila ukija ukurasa wa 8 ambao unaelezea kwa kirefu kipengele cha ukurasa wa tano, kinasema watatengeneza ajira milion 7, hizi ajira milion 1 zimeenda.

Hi inaonyesha ni jinsi gani tunadanganywa kwenye hii sekta ya ajira na CCM, Bashiru na jopo lako hapo lumumba mlikua mnahara gani wakati wa ku-type.

Hata hii ilani yenyewe sidhani kama kuna watu walikaa wakaipitia kuhakiki kama kilichoondikwa ndani kinajitosheleza. imejaa makosa kibao



Mataga kazi kwenu kutetea
 
Kukiwa na mipango mizuri ya kiuchumi inawezekana, issue ni je hiyo mipango ipo?
 
Kukiwa na mipango mizuri ya kiuchumi inawezekana, issue ni je hiyo mipango ipo?
Huu ni uongo, iweje kipengele kimoja kiongee mambo mawili tofauti, title ilitakiwa kuwa moja sio kama invyonekana hapo juu
 
Wameshazoea kudanganya kwenye elimu, afya na uchumi. Kudanganya ni sawa na kula nyama ya mtu ukishaanza huwezi kuacha mpaka uachishwe.
 
Shida imefika hatua CCM kwa vile wana dola basi wanatuona mazwazwa.

Kila kitu wanabumba tu.
 
Hakuna mpya
 
Daraja la kati la kwanza umetumia takwimu zp kuielezea tanzania?kwa hiyo tuko Karibu kuingia kwenye nchi zilizoendelea kiuchumi like United States?manake tupo level ya sweden,Norway,south korea?Hzi ni ndoto za 500+ years to come
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…