Uchaguzi 2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025
Deni la taifa mpaka sasa ni 60t, uwezo wa kulilipa ukoje? Kipande cha Dar-Moro kilichotarajiwa kukamilika Dec 2019, mpaka sasa bado kukamilika. Ni muwekezaji gani anakuja zaidi ya mchina aliyekuja na $10b kwenye bandari ya Bagamoyo akagomewa? Hakuna muwekazaji yoyote toka Western anaweza kuja kwenye nchi ambayo wenye Bureau de change walioporwa fedha zao mchana kweupe na dola, na ikaonekana ni uzalendo. Watu wa Western wanajua bado kuna vimelea vya Unyerere vya kutaifisha mali za wawekezaji.
Tanzania iko uchumi wa kati
 
Back
Top Bottom