Ile haikuwa back pass bali ni subortage pass!!

Kwani Awesu Awesu yuko wapi ?
Huyo dogo anaidharau sana Simba.
Siku ile anajibu kwa dharau kabisa kuwa hakuna mchezaji anaye mwona bora pale Simba.

Inamaana yeye ndio Best player pale Simba.
Yaani akina Shabalala ni cha mtoto kwake.

Nina uhakika yupo Simba ki maslahi tu.
 
Huna unachojua kuhusu mpira mkuu,ungenyamaza t
 
Kwa vyovyote vile lile shoot hakuna kipa angedaka 😂
Tuna mtegemea tena tarehe 8 March mambo yakiwa magumu😂😂
 
Leo kulikuwa na uchale wa kupitiliza, goli la kwanza ni uchale, kadi nyekundu pia ni uchale kuliko wa Chaplin.
Goli la simba halikuwa na shida yoyote, hata kadi nyekundu, nyie magoli halali hadi yafungiwe katikati ya uwanja?
 
Scars kapagawa haongei kiswahili tena ni kithungu tu, dah! mpira huu bora ushabikie familia yako tu maana mambo mengine huwezi kuControl
Hahahaaa. Kabisa ndugu yangu.

Ila wamejua kuchanganyikiwa bana. 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…