The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Leo kulikuwa na uchale wa kupitiliza, goli la kwanza ni uchale, kadi nyekundu pia ni uchale kuliko wa Chaplin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo kulikuwa na uchale wa kupitiliza, goli la kwanza ni uchale, kadi nyekundu pia ni uchale kuliko wa Chaplin.
Uchale uchale tu, alafu wanasema ligi ya 4 kwa ubora, ligi ya machale.Wakati unatulia dawa iingie vizuri, fanya mchakato wa kuweka clip zote 2 hii na ile iliyowapa goli.
Mzani ukae sawa, mbwa kala mbwa hakuna habari hapo.
Machale hao kama msemaji wao achana nao.Mushaanza kulia nyau
Goli kama la kengold jana
Naunga mkono hoja. Hakuna bahati mbaya katika hili. Hii siyo back pass
Kai curve vizuri kweli.
Huna unachojua kuhusu mpira mkuu,ungenyamaza thapo golikipa ndiye kavuruga. Huo haukuwa mpira wa kumshinda kwanza ulikuwa umelengwa nje ya goli, golikipa alitakiwa kuutuliza kifuani halafu na augawe mbele, lakini yeye akacheza kama beki na kuu-deflect mpira kwenda golini huku akiwa peke yake wala hakukabwa na mshambulizi yeyote
Sasa wewe unajua nini iwapo comment yako ndiyo hii !!Huna unachojua kuhusu mpira mkuu,ungenyamaza t
Wooooiiiiii. 😂😂😂Dogo alikuwa anamuwaza role model wake akaona aachie hilo kombola
Mtani umepigaje hapoo. 🤣🤣🤣I wonder if he could do it again would he do it in different way?
Na hapo wangeona ni kitu cha kawaida kabisa mchezaji kukosea.Mngeshinda goli sita haya yote yasingekuwepo
Adimu sana Mkuu.Leo kulikuwa na uchale wa kupitiliza, goli la kwanza ni uchale, kadi nyekundu pia ni uchale kuliko wa Chaplin.
Goli la simba halikuwa na shida yoyote, hata kadi nyekundu, nyie magoli halali hadi yafungiwe katikati ya uwanja?Leo kulikuwa na uchale wa kupitiliza, goli la kwanza ni uchale, kadi nyekundu pia ni uchale kuliko wa Chaplin.