Ile hali ya kupenda mwanamke kupitiliza, ni akili ya kawaida au ni kulogwa?

Ile hali ya kupenda mwanamke kupitiliza, ni akili ya kawaida au ni kulogwa?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,558
Reaction score
64,966
Hii hali nilishakutana nayo miaka ya nyuma, unajikuta unampenda mtu kupitiliza, kuliko yeye anavyokupenda.

Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake, unajikuta muda wote unatamani awe karibu yako, umpigie pigie simu; wakati mwingine yeye asikupe ushirikiano lakini utatumia nguvu ata ya hela ili awe karibu tu.

Unataka kumuacha, baada ya muda unamrudia tena; wakati huohuo kuna wadada wengine wanakutafuta wewe unakuwa unawaona hawana cha maana.

Sasa najiuliza, hii ni akili ya kawaida au ni kulogwa?​
 
Mdau kama unampenda wanawake hakika mshukuru Mungu na ndio uanaume huo.. kwa kifupi umekamilika .. kwa Sasa Dunia ya sa hivi inatisha maana mashoga ni mengi sana kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha warumi1:26-27.
Kama humu jeifu Kuna ******* mengi sana😡😡😡😡
 
Hiyo humtokea mtu walau mara 1 kwenye maisha yake ya mahusiano ya mapenzi. Ingawa wengine huwatokea zaidi ya mara 1.
Hiyo hali hukoma pindi huyo unayempenda akikuacha maana yeye anakuwa hana cha kupoteza kama vile wewe unavyowapuuzia wale wanaokupenda.

Dr. Dyaboli alisema hivi
"Hivi unajua ni kwanini maneno Uchi, Uchizi na Uchawi yanashabihiana? Ni kwasababu uchi ni
uchawi unaotia uchizi"
 
Hii hali nilishakutana nayo miaka ya nyuma, unajikuta unampenda mtu kupitiliza, kuliko yeye anavyokupenda.

Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake, unajikuta muda wote unatamani awe karibu yako, umpigie pigie simu; wakati mwingine yeye asikupe ushirikiano lakini utatumia nguvu ata ya hela ili awe karibu tu.

Unataka kumuacha, baada ya muda unamrudia tena; wakati huohuo kuna wadada wengine wanakutafuta wewe unakuwa unawaona hawana cha maana.

Sasa najiuliza, hii ni akili ya kawaida au ni kulogwa?​
Ndio maana ya kupenda.Ukiona hivyo Ujue wewe ndio unafurahia Mapenzi.Ukiwa huna uwezo huo ina maana hata mapigo yako ya Moyo yanakuwa hayako sawa.Kupenda ni raha sana....
 
Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake,​
majibu unayo, umeshafanywa zuzu wewe, atakupelekesha anavyotaka, na hata siku ukimkuta analiwa na mwanaume mwingine wewe ndiye utamwomba msamaha kwa kumfumania....!!
 
Back
Top Bottom