Ile hali ya kupenda mwanamke kupitiliza, ni akili ya kawaida au ni kulogwa?

Ile hali ya kupenda mwanamke kupitiliza, ni akili ya kawaida au ni kulogwa?

Nadhani ukiwa na mwanamke ambaye nafsi yako inaridhika naye, sura, shape, utamu na wakati mwingine anaweza asiwe na tabia njema. Ila muhimu ni option B, ukipigwa tukio una ka-shock absorber cha kukutuliza
Bado nafsi itakuwa inauma
 
Mdau kama unampenda wanawake hakika mshukuru Mungu na ndio uanaume huo.. kwa kifupi umekamilika .. kwa Sasa Dunia ya sa hivi inatisha maana mashoga ni mengi sana kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha warumi1:26-27.
Kama humu jeifu Kuna ******* mengi sana😡😡😡😡
Itabidi tuje tupitishe msako wa kimbunga ili kuwafukuza
 
Mdau kama unampenda wanawake hakika mshukuru Mungu na ndio uanaume huo.. kwa kifupi umekamilika .. kwa Sasa Dunia ya sa hivi inatisha maana mashoga ni mengi sana kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha warumi1:26-27.
Kama humu jeifu Kuna ******* mengi sana😡😡😡😡
Sasa inahusiana nini? Hivi straight uchwara siku hizi mmekuaje?? Mbona milio ni mingi sana? Kulikoniii???

Sisi Kwetu ni shereheeeeeeeeeeee!!!
😂😂😂😂😂😂
 
Ndio maana ya kupenda.Ukiona hivyo Ujue wewe ndio unafurahia Mapenzi.Ukiwa huna uwezo huo ina maana hata mapigo yako ya Moyo yanakuwa hayako sawa.Kupenda ni raha sana....
Inatafakarisha sana, mnaweza mkakwazana mpaka kufuta mawasiliano yake, lakini baadaye utaanza kumtafuta tena n.k
 
Hiyo humtokea mtu walau mara 1 kwenye maisha yake ya mahusiano ya mapenzi. Ingawa wengine huwatokea zaidi ya mara 1.
Hiyo hali hukoma pindi huyo unayempenda akikuacha maana yeye anakuwa hana cha kupoteza kama vile wewe unavyowapuuzia wale wanaokupenda.

Dr. Dyaboli alisema hivi
"Hivi unajua ni kwanini maneno Uchi, Uchizi na Uchawi yanashabihiana? Ni kwasababu uchi ni
uchawi unaotia uchizi"
Unajikuta uko tayari kumfanyia mambo makubwa kuliko yeye anavyo kuhudumia
 
Kuna kumpenda mtu ile moyo unakuambia kabisa huyu ndiyo utawezana naye,unakimbia na kususa kwa sababu ya nyenendo zake mbovu ila moyo unasuta tu…”we rudi tu mama kwa usalama wako”

Watu wanachinjana huko,ila huyu jamaa sijui Kama ana muda hata wa kukasirika🙌🏾
 
Hii hali itakuwa inasababishwa na nini?
Niliwahi kuongea na kiongozi Wa kiroho akasema mambo mengi lakini moja ni mtu huyo mnakua mnaendana katika vitu vingi kama sio vyote. Pia roho zinakua zimeridhiana hivyo kuwatenganisha ni ngumu.

Kipendacho roho hula nyama mbichi
 
Back
Top Bottom