Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Mkuu ebu tupe uzoefuMjomba wewe acha tu.
Inasababishwa na nini?Kitaalamu inaitwa Infatuation
Elezea ata kwa ufupiKua na amani kuna mambo hayaelezeki yapo kwenye mabano kama hivi ()
Ata kama ni ombaomba utajititimua umgharamie tuLabda kama ni independent woman sio hawa ombaomba.
Ndio maana ya kupenda.Ukiona hivyo Ujue wewe ndio unafurahia Mapenzi.Ukiwa huna uwezo huo ina maana hata mapigo yako ya Moyo yanakuwa hayako sawa.Kupenda ni raha sana....Hii hali nilishakutana nayo miaka ya nyuma, unajikuta unampenda mtu kupitiliza, kuliko yeye anavyokupenda.
Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake, unajikuta muda wote unatamani awe karibu yako, umpigie pigie simu; wakati mwingine yeye asikupe ushirikiano lakini utatumia nguvu ata ya hela ili awe karibu tu.
Unataka kumuacha, baada ya muda unamrudia tena; wakati huohuo kuna wadada wengine wanakutafuta wewe unakuwa unawaona hawana cha maana.
Sasa najiuliza, hii ni akili ya kawaida au ni kulogwa?
Kisababishi ni nini?inatokeaga ila inabidi uwe na plan B
Umeambiwa haielezeki lolElezea ata kwa ufupi
Kwa nini?Wakina secretarybird na Mbaga Jr hawapitii hizi stress kabisa 🧼
majibu unayo, umeshafanywa zuzu wewe, atakupelekesha anavyotaka, na hata siku ukimkuta analiwa na mwanaume mwingine wewe ndiye utamwomba msamaha kwa kumfumania....!!Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake,