MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Nadhani ukiwa na mwanamke ambaye nafsi yako inaridhika naye, sura, shape, utamu na wakati mwingine anaweza asiwe na tabia njema. Ila muhimu ni option B, ukipigwa tukio una ka-shock absorber cha kukutulizaKisababishi ni nini?
Kutakuwa na utapeliUmeambiwa haielezeki lol
Ukiona wewe upo kwenye kundi hilo ujue wewe ni mtu mzuri mnoo
Kibaya ni kwamba utakutana na majangiri wa mapenzi wakugeuze simba
Bado nafsi itakuwa inaumaNadhani ukiwa na mwanamke ambaye nafsi yako inaridhika naye, sura, shape, utamu na wakati mwingine anaweza asiwe na tabia njema. Ila muhimu ni option B, ukipigwa tukio una ka-shock absorber cha kukutuliza
Itabidi tuje tupitishe msako wa kimbunga ili kuwafukuzaMdau kama unampenda wanawake hakika mshukuru Mungu na ndio uanaume huo.. kwa kifupi umekamilika .. kwa Sasa Dunia ya sa hivi inatisha maana mashoga ni mengi sana kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha warumi1:26-27.
Kama humu jeifu Kuna ******* mengi sana😡😡😡😡
Inawezekana, kwa sababu wewe unakuwa unapenda zaidi kuliko yeyelibwata ilo mkuu jipambanie
Sasa inahusiana nini? Hivi straight uchwara siku hizi mmekuaje?? Mbona milio ni mingi sana? Kulikoniii???Mdau kama unampenda wanawake hakika mshukuru Mungu na ndio uanaume huo.. kwa kifupi umekamilika .. kwa Sasa Dunia ya sa hivi inatisha maana mashoga ni mengi sana kama ilivyotabiriwa kwenye kitabu cha warumi1:26-27.
Kama humu jeifu Kuna ******* mengi sana😡😡😡😡
Inatafakarisha sana, mnaweza mkakwazana mpaka kufuta mawasiliano yake, lakini baadaye utaanza kumtafuta tena n.kNdio maana ya kupenda.Ukiona hivyo Ujue wewe ndio unafurahia Mapenzi.Ukiwa huna uwezo huo ina maana hata mapigo yako ya Moyo yanakuwa hayako sawa.Kupenda ni raha sana....
Unajikuta uko tayari kumfanyia mambo makubwa kuliko yeye anavyo kuhudumiaHiyo humtokea mtu walau mara 1 kwenye maisha yake ya mahusiano ya mapenzi. Ingawa wengine huwatokea zaidi ya mara 1.
Hiyo hali hukoma pindi huyo unayempenda akikuacha maana yeye anakuwa hana cha kupoteza kama vile wewe unavyowapuuzia wale wanaokupenda.
Dr. Dyaboli alisema hivi
"Hivi unajua ni kwanini maneno Uchi, Uchizi na Uchawi yanashabihiana? Ni kwasababu uchi ni
uchawi unaotia uchizi"
Ulishakutana na hali ya namna hiyo?Mpaka unajitambua hakuna uchawi hapo huo ni ujinga!!!
Kwa nini iwe kwake tu na si kwa wengine?Ni mapenzi tu na siyo kulogwa.
Hii hali itakuwa inasababishwa na nini?Hii kitu isikieni tuu.... Beki hazikabi kabisaa
Inawezekana ikawa kweliUchi Ni Uchawi Unaoweza Kukupa Uchizi...!!
Mkuu huyo ni wakuachana naye mara moja, utaumia kama mwezi mmoja, ila utakua umejikomboa kutoka kwenye utumwa wa mapenzi, lazima uweze kuhimili mapenzi. Kuna kabinti nilikuwa na ki-date few months ago nilikua naelekea huko, nimesitisha mapenzi mazima. Utimamu wa akili kwanzaBado nafsi itakuwa inauma
Inawezekana ikawa kweli
Niliwahi kuongea na kiongozi Wa kiroho akasema mambo mengi lakini moja ni mtu huyo mnakua mnaendana katika vitu vingi kama sio vyote. Pia roho zinakua zimeridhiana hivyo kuwatenganisha ni ngumu.Hii hali itakuwa inasababishwa na nini?