ki-lugha chetu hii hali inaitwa infatuation!Hii hali nilishakutana nayo miaka ya nyuma, unajikuta unampenda mtu kupitiliza, kuliko yeye anavyokupenda.
Na hii inatokea baada ya kuonja tunda lake, unajikuta muda wote unatamani awe karibu yako, umpigie pigie simu; wakati mwingine yeye asikupe ushirikiano lakini utatumia nguvu ata ya hela ili awe karibu tu.
Unataka kumuacha, baada ya muda unamrudia tena; wakati huohuo kuna wadada wengine wanakutafuta wewe unakuwa unawaona hawana cha maana.
Sasa najiuliza, hii ni akili ya kawaida au ni kulogwa?
Huo n utoto, na sisi n watu wazima 😂Wakina secretarybird na Mbaga Jr hawapitii hizi stress kabisa 🧼
Hilo ni tatizo la akili Love Obsessive Disorder kwanini ulazimishe mtu kukupenda?? Nyie ndo wale mnakuja kupiga wanawake Magobore kisa kujifanya mnajua kupenda sana na kujali🚮Ukiona watu mpaka wanaonga mali na vyeo, ujue hii dunia ina mengi.
Kuna maumbo ukiyaona unaweza kulia kama mtoto mdogoPenzi la kwanza kabisa ndio huwatokea hali hiyo watu wengi,wataalamu wa mambo ya kisaikolojia na biolojia wanasema penzi la kwanza kabisa ndio penzi la kweli/lenye hisia ya kweli ambayo hua ni deep,na huwezi kumsahau hiyo mpenzi wako,
Ila mkiachana,unakua na roho ngumu sana,hakuna Mwanamke/Mwanaume mwingine atakaye kubabaisha tena au kumbabaikia na kuforce love.
Ndio starehe tuliopewa na muumbaMapenzi yafutwe.....
Ulishawahi kupenda mtu mpaka ukapitiliza?Tatizo utam yaan utam wa pale kati acha kabisa unaweza kaa kichochoro hatari na ni usiku kisa unasubiri mbunye 🤣🤣🤣kupenda ni raha sana
Hakika.. msako wa Chaka to chakaItabidi tuje tupitishe msako wa kimbunga ili kuwafukuza
Tuachane na mapenzi tule 🐷+🍌+🥗+🍺Ndio starehe tuliopewa na muumba
Anaweza kukutesa sana?Hakikisha unamuoa
Watching 👀Here I am, how do u do?
LurkingWatching 👀
Ndio mama watoto wangu 🤣🤣🤣we acha tu haya mapenziUlishawahi kupenda mtu mpaka ukapitiliza?