Ile hali ya kupenda mwanamke kupitiliza, ni akili ya kawaida au ni kulogwa?

Hiyo ni hali ya kutokuwa na ukomavu wa kihisia
  • Unakuwa hauko tayali kupoteza kitu unacho kipenda.
  • Na pia hauko tayali kukubaliana na hali au kukubali maumivu.
Dini ya budha kwenye kweli nne.. Mbili nanukuu

1.kuungana na chenye kuchukiza Kuna maamivu

2.na kutengana na kinachopendeza Kuna maumivu
 
Sema mwanangu kwa pisi unayo ikubali halafu ikakupa tunda ukaonja ikawa inaeleeka haizingui , mwanangu wee acha tu yan utajikuta unazama mazima. Unaweza jikuta unasahau wanawake wengine wote dunia nzima unamuona yeye tu. Sema kwenye kipengele cha hela hapo ndo shida mwanangu pesa zinatembea mzee wangu ndomaana tunachelewa hata kupata mafanikio ya kimaisha kwasababu ya kufuatilia mambo ya wanawake.

Kimaisha ukiwin kuwa na demu mmoja ( wasiwe wengi) halafu Sio mtu wa pombe utatoboa. Ila ukiendekeza wanawake na pombe mzee , maisha mazuri utayaona kwa majiran tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dini ya budha kwenye kweli nne.. Mbili nanukuu

1.kuungana na chenye kuchukiza Kuna maamivu

2.na kutengana na kinachopendeza Kuna maumivu
Ndiyo inabidi ukubali sasa maumivu.

1.Unaweza ukaishi bila kuungana na unaye mpenda kihisia.
2. Unaweza ukampenda mtu na kuwa mbali naye kihisia
Jibu ni mmoja tu

Ukitaka kushinda hali hiyo
Kuwa tayali kupoteza unacho kipenda na huo ndio ushujaa na ujasiri wenyewe.
 
MITHALI 29
18 Pasipo maono, watu huacha kujizuia; Bali ana heri mtu yule aishikaye sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…