Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Penda sana ku note maongezi ya mtu mfano "guys guys guys".
Kuna kauli ukiziunganisha utapata mtu ana maanisha nini ?.
Mfano kauli zake:
"Msipo tuchagua tutaunda serikali yetu sisi CCM"
"wale walifanya vurugu sio watanzania"
"wazazi mgewafungia wanenu yasinge tokea haya"
"Nguvu iliyotumika ilistahili kutumika"
"Who are you"
"Mimi nita endelea kuwepo na mimi ndio amri jeshi mkuu"
"Msitupangie la kufanya"
La mwisho ni "Katiba ni kijitabu"
Ili neno hata museveni analisema sana ina maana mambo yaliyomo kwenye katiba yeye sio swala lake.
kama mwaka umeanza washaanza ajenda kusema mpaka 2035.
Huyu ni maduro manyonyo wa tanzavuera