Ile meli imeshazama yote Houth wasema wataacha kushambulia Israel ikisitisha vita Gaza

Ile meli imeshazama yote Houth wasema wataacha kushambulia Israel ikisitisha vita Gaza

hamas wanatosha kuipiga israel,wanachofanya houth ni kumdhoofisha israel kiuchumi...baada ya vitu kuisha kila kitu kitajiweka hadharani,hivi tunavyozungumza hali tete huko israel
Uko sahihi kabisa.
Israel kwa sasa inajidai na mashambulio ya ndege za kivita basi.Jeshi la ardhini limechoka na vijana wameingia wogoa sana baada ya maafa makubwa waliyopata Gaza ambayo hayatangazwi kikamilifu.
Wananchi nao hawana urafiki na serikali yao baada ya kuona vita vimechukua muda mrefu mpaka uchumi umeyumba.
 
Hii kauli IDF waliambiwa wathibitishe na wakakosa ushahidi.

Katika hao raia hakukupatikanika silaha wala kisu cha mwanamgambo.

Hayo madai unayoyaleta Israel mpaka ICJ walishindwa kuthibitisha mkuu.
Wee lalamika lakini hakuna kitu utabadilisha
 
Lengo linafahamika.

Ni kukata mirija na kuvuruga uendeshaji uchumi wa Israel ili vita ikome Gaza na matakwa yatimizwe.

Kama kuhusu kupigana na Israel Hizbollah wapo.

Ila meli za biashara shirika na Israel hazipaswi pita bahari nyekundu.
Kinachonishangaza ni ukimya wa.Hizbullah.Mbona kama wamewasaliti.wenzao?
 
Kinachonishangaza ni ukimya wa.Hizbullah.Mbona kama wamewasaliti.wenzao?
Hizbullah anachukua hatua kwa mipaka,maana haihitaji kuingia vita ya ujumla na ikazidi kudhohofisha uchumi wa Lebanon.
 
Israel hata izame hawana shida ikizama na wao wanazamisha gaza nyumba za Gaza kibao wanazamisha chini kwa kuziporomosha na makombira maelfu wanakosa makazi na kulala nje tofauti na meli yenye wafanyakazi 20 wa melini kwa hasira.

Kuwa zamisha meli moja ya wafanyakazi 20 halafu Israel inaporomosha majengo yenye wakazi laki moja wakose mahali pa kuishi nani zaidi hapo?
Wewe akili yako mbona kama panzi, kwahyo ndo umefurahi mwenyewe, mabwabwa siku zote akili zao zipo.makalioni kama wewe.
 
hamas wanatosha kuipiga israel,wanachofanya houth ni kumdhoofisha israel kiuchumi...baada ya vitu kuisha kila kitu kitajiweka hadharani,hivi tunavyozungumza hali tete huko israel
Hamas wanatosha kuifanya nini Israel?Vichekesho hivi.
 
Hizbullah kwa Israel muda huu ni tishio kubwa na ndio maana Israel inashambuia kwa tahadhari kubwa na Marekani inaogopa sana hivyo vita.
Kuna eneo la Israel muda wote limezingirwa na Hizbullah kwa nyuzi 270.Vita vikianza kwa kasi kama vile vya mwaka 2016 basi Hizbullah wana uwezo wa kuliteka hilo eneo na Israel baada ya majeraha ya Gaza hawana nguvu za kuwasukuma nyuma Hizbullah kirahisi.
Eneo lipi
 
Ghaza ingepata huduma za uhakika kama mafuta , maji .na uhuru wa kuijgiza malighafi yoyote kama afanyavyo isrelei mbona Israeli ingekoma .
Itakuja huko japo hata sasa amekoma.
 
Kwa sababu ujificha kwa raia
Usiwe punguani unashikiwa akili tumua akili uliyopewa na Mungu yaani Hamas wanajificha kwa raia Israel anapiga mabomu nyumba anauwa watato na raia wasiyokuwa na hatia halafu Hamas wanapona🤣🤣
 
Usiwe punguani unashikiwa akili tumua akili uliyopewa na Mungu yaani Hamas wanajificha kwa raia Israel anapiga mabomu nyumba anauwa watato na raia wasiyokuwa na hatia halafu Hamas wanapona🤣🤣
Labda we unaetumia kamasi kufikri ujificha kwa raia kama target
 
Yani nilichomaanisha zaidi tofauti na hiko mkuu Hamas na makundi mengine yanalenga MAMLAKA za Israel ila Israel inalenga raia.

Ndio sawa jamaa akutie kofi(Hamas and allies) wewe ulipize kwa mtotowe(Gaza residents).
Magaidi ni raia pia. Ngoja wachapwe tu
 
Back
Top Bottom