DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Israel hata izame hawana shida ikizama na wao wanazamisha gaza nyumba za Gaza kibao wanazamisha chini kwa kuziporomosha na makombira maelfu wanakosa makazi na kulala nje tofauti na meli yenye wafanyakazi 20 wa melini kwa hasira.
Kuwa zamisha meli moja ya wafanyakazi 20 halafu Israel inaporomosha majengo yenye wakazi laki moja wakose mahali pa kuishi nani zaidi hapo?
Hapo ni nani mwanaume! Anaezuia silaha zisiende kuuwa raia? Au anaeuwa Raia/watoto, wanalipua misikiti, makanisa, majumba, mahospital n.k?
Ni nani mwanaume kati yao?