Ile meli imeshazama yote Houth wasema wataacha kushambulia Israel ikisitisha vita Gaza


Hapo ni nani mwanaume! Anaezuia silaha zisiende kuuwa raia? Au anaeuwa Raia/watoto, wanalipua misikiti, makanisa, majumba, mahospital n.k?

Ni nani mwanaume kati yao?
 
Ni kama vile Hamas walipiga kidogo ndani ya Israel halafu Israel ikaenda kuua maelfu na kubomoa majengo 80% ya Gaza.
Jee kuna ulingano hapo
Iko hivi jambazi akikukosa na kisu mkate mkono ajue sio mchezo, maana anaweza nogewa akajua mnacheza akakukata shingo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…