Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Mwenye majibu tafadhali.
Tangu lini chadema mmeanza kupenda maendeleo ya taifa hili .ndege tena nyie mmesema unataka maendeleo ya watu sio vitu
 
Ungesubiri Januari , na baada ya kuona kimya ndipo ungeleta hiyo thread manake kwa leo tutakujibu December haijaisha. Vuta Subira Mkuu, bado siku 4, hata ikitoka kesho Canada bado itawasili December.
 
Mkuu hata hizi zilizopo zimeshakuwa mwiba kwa Serikali. Vile tu wenye kutolea maelezo wametawaliwa na hofu. Zimeshaingizia hasara za kutosha Serikalini.
 
Mkweche umechelewa kuingia Kwasabb mafundi rangi wapo likizo ya Christmas Ila nahisi kuanzia February utaingia DAR
 
Tangu lini chadema mmeanza kupenda maendeleo ya taifa hili .ndege tena nyie mmesema unataka maendeleo ya watu sio vitu
Acha habari za uchama,kuwa mzalendo,tena halisi.
 
Jan 2025 mnada mkubwa wa midege ikiyolala ...wamewarubuni pilot wazawa wamepoteza timing big time !! Wakomae corona ikipungua waruke waruke maana tutaziuza na kuwashitaki wote waliohusika wote watoto wa Dada .....
 
Mwaka
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?

Mwenye majibu tafadhali.
Mwaka Jana walipochelewa na kupitisha muda walitulipa fidia, nadhani dora elfu 50000 hivi kama sokosei na safari hii wakichelewa wanarudisha mpunga tu maana tuliwalipa cash, labda wasingizie corona lakini vinginevyo yatawakuta tu.

Huyo ndo JPM hataniani na beberu mzembe.
 
Chadema bana

Ndege ikija mnaiponda, isipokuja mnaiulizia

Nyie jamaa mmehama kabisa kutoka kufanya siasa za fikra mbadala mpaka kufikia siasa za chuki na uhujumu Taifa na maendeleo yake, ndio maana wananchi wamewapiga chini kwenye udiwani, ubunge na Uraisi ktk uchaguzi mkuu

Mmebaki kupost pumba na mashudu tu
 
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.
 
Back
Top Bottom