Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?

Mwenye majibu tafadhali.
we inakusaidia nini?
 
Muulize mbowe au lema mbwa wewe,unataka kutuambia kila unachpanga wewe huwa kinaenda kama kilivyo?

Mmekalia uchonganishi tu kwa kukosa kazi za kufanya hata ikija hiyo ndege au hizo zilizopo zinakusaidia nini?

Leta mada zinazotujenga humu siyo majungu mshenzi wewe ebo
 
Kwani December imeisha?
 
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.

Mngekuwa hamumtegemei mtu basi msingelialia kwenye uchaguzi wenu pale Mlimani City,, eti Mwamba tuvushe

Haya sasa kawavusha kutoka kuwa na wabunge 40+ wa kuchaguliwa 2015 mpaka kufika mmoja 2020
 
Mi nimwakumbusha tu ahadi yao mkuu.
Nyie ahadi zenu zote mmetekeleza au tumewakukumbusha?

Mliahidi lissu atakuwa rais,mbowe atakuwa waziri mkuu,kumlea mtoto wa marehemu mawazo,etc,je,mmezitimiza??

Angalieni yakwenu kwanza mbuzi weee
 
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?

Mwenye majibu tafadhali.

Hivi kweli ukiwa na akili timamu bado unashabikia “ndege”? Zilizopo zenyewe zinafanya nini? Hiyo inayotegemewa kuja itafanya kazi gani?
Ndege ni kitu kizuri sana. Ndege zinaendeshwa na mashirika ya biashara, ndege za Tanzania ni za serikali. fact, zilipoanza kuingizwa Tanzania mashirika kama fast jet yalianza kusumbuliwa na kufungishwa virago ili ndege za Magufuli zifanye kazi.
Fact, ndege zenu hazina abiria kwa sababu ya nauli kubwa. Mara moja moja huwa naona moja inakwenda kutege Kigoma, ikitoka hapo inajaribu Sumbawanga kisha inasepa Mwanza, ndege ya abiria zaidi ya 60 inasepa na 12!!!!!!

Fact ndege zenu hazina route za nje, ile Dreamliner na Airbus 220 ambazo zingepaswa kwenda nje ya nchi, labda zinaenda Chato.

Ningependekeza zikakatwa Chuma chakavu na kupimwa tu, kama ni hasara tushakula nyingi. Ni aibu kubwa ya kinaendelea!
 
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?

Mwenye majibu tafadhali.
Ushawauliza Wahusika wa hilo jambo ?
 
Tangu lini chadema mmeanza kupenda maendeleo ya taifa hili .ndege tena nyie mmesema unataka maendeleo ya watu sio vitu
Kwahiyo mmeamua kwenda na sera ya Chadema?
Mbona maendeleo ya watu pia yamezidi kudorora? 😊😊
 
Muulize mbowe au lema mbwa wewe,unataka kutuambia kila unachpanga wewe huwa kinaenda kama kilivyo?

Mmekalia uchonganishi tu kwa kukosa kazi za kufanya hata ikija hiyo ndege au hizo zilizopo zinakusaidia nini?

Leta mada zinazotujenga humu siyo majungu mshenzi wewe ebo
Meza panadol upungeze maumivu.
 
Muulize mbowe au lema mbwa wewe,unataka kutuambia kila unachpanga wewe huwa kinaenda kama kilivyo?

Mmekalia uchonganishi tu kwa kukosa kazi za kufanya hata ikija hiyo ndege au hizo zilizopo zinakusaidia nini?

Leta mada zinazotujenga humu siyo majungu mshenzi wewe ebo
Meza panadol upunguze maumivu.
 
Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?

Mwenye majibu tafadhali.
Mwezi hujaisha bwashee siku 5 bado ni nyingi sana kiserikali
 
Back
Top Bottom