Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

Ile ndege aina ya Bombardier mbona haiwasili kama tulivyoahidiwa kuwa itawasili mwezi huu wa Desemba?

Habari hii nakumbuka ilitolewa na hata JamiiForums twitter waliripoti hii habari ila mpaka leo December 27 mbona kimya?

Je,walitawahi tangaza kuahirisha?

Na hizi zilizopo, maendeleo yake yakoje?

Mwenye majibu tafadhali.
Imekodiwa na shirika moja la uswizi inapiga kazi huko
 
Back
Top Bottom