Igweeeeee [emoji1666][emoji1666][emoji1666]Hahahaha!.
Benki? Sehemu ambayo mtu huweza kuona salio lako bila tatizo. Ameshachungulia, akaona wewe bado.
Kuna pisi niliizimikia. Alikuwa teller PREMIER LOUNGE. Akanihudumia, nikamuomba aniangalizie salio, akaniandikia akanipa. Nikamuachia ya maji. Alinitafuta mwenyewe.
Achana na mambo ya business Card. Hiyo utawapa wanawake wajanja wanaojiweza. Hawa ambao bado wanapata 600k, wewe muombe account number.
Dumbukiza kama 200k. Namba atakupa mwenyewe.
Mengine mtamalizana mnavyojuana.
hilo ndiyo kosa kubwa nimefanya. niliamini salio la akaunti litashawishiHiyo business card uliambatanisha na angalau Msimbazi wawili au ulimpa kavu kavu??
[emoji3][emoji3][emoji3]Ahiiiiiiiiiii bhaghoooooshaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..wew kijana hao wadada wametrainiwa kuwa humble for each customers bila kujaji, sasa wew umechekewa kidogo tu ushaamishia akili uko down[emoji23][emoji23], sasa unazan we wakwanza kupga nae story?[emoji23][emoji23] kuna wenzako hapo pia wamekuja tangu asubh na wengine jana wakaacha mpka hela ya mboga( notii noti nyekundu 400k)[emoji23][emoji23] na bado hawajatafutwa wengine wameblockiwa, sasa wew mkono mtupu nan akukumbuke[emoji23][emoji23][emoji23] inauma hee?? mke wa mtu uyooo jombaa tena kibwana chake ni choka mbaya hakina hata ishuu yoyote mjini hapa zaid ya kuvaa vinjunga mjini,na kulamba lips[emoji23][emoji23][emoji23].....acha tamaa
isije kuwa ni wewe unayenisumbua akiliSafi sana ; komaa kijana hadi kieleweke haina kukata tamaa,ila kwenye business card umeandika wewe ni Managing director ama😂😂
Kwa hili suala blacks , we're good at it hata race zote zinatuheshimu kinouma kwenye ishu za kungonoka.Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
Usijali mkuu! Kesho nakupigia eeh😂isije kuwa ni wewe unayenisumbua akili
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] duuh all the best nigga!! Ila umekosea business card inaenda na kibunda!!! Unampa business card na laki 1 unamwambia ya vocha iyo kuna namba yangu apo kwa card nicheki alafu unaondoka!!! Na unakuwa umepiga perfume ya kiboss haswa unamuacha na harufu ya kiboss kweri kweri lazima angekucheki... Umeenda kinyonge mkuuMpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa hiyo umebaki na 99pcs ha ha
Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi.
Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza.
Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata muda wa kupiga stori mbili tatu lakini kuomba namba nikaona soo kubwa (roho huuma sana nikiomba namba halafu ninyimwe). Lakini roho ilinisumbua sana,imeogopa kuomba namba halafu tena imeumia kukosa namba.
Ikabidi nikae kikao kujadili nini kifanyike. Nikapata wazo la kutengeneza business card itakuwa rahisi kumuachia. Nikaingia stationary wakanipa pieces 100. Siku hiyo hiyo nikatinga tena kwa pisi, iko pale counter inawaka hatari.
Kama kawaida nikaipa muamala wangu na stori mbili tatu,bahati nzuri ilikuwa inanikumbuka. Wakati inanipa docs nisaini nikaiachia business card.
Mimi: Madam sorry naomba nikuachie na business card yangu.
Pisi: Asante, lakini sasa nitaifanyia kazi gani,ya kazi gani (ikaweka pembeni yake)
Mimi: Baki nayo tu kuna contacts hapo
Pisi: Sawa ila siwezi kukupigia (ikanirudishia fomu za miamala)
Mimi: (Nikajifanya sijasikia,nikaaga).
Mpaka sasa yamepita masaa mengi pisi haijapiga wala sms. Wewe bidada kama upo humu najua unanipata. Niokoe kijana wa watu. Usipofanya hivyo kesho ntarudi tena
ukinipigia usiniite mkuu,niite jina tamu 😂Usijali mkuu! Kesho nakupigia eeh😂
Usiiende na gari kubwa atakustukia nenda na kababy walker nashauri Ist inatosha hakikisha ndani inafull AC music kidogo
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]pole mwaya,asipokutafuta uwe unaenda kila siku