Ile shule waliojirekodi kumbe mdogo wangu kamaliza hapo, nimempigia kumuhoji kanipa ushuhuda huu

Ile shule waliojirekodi kumbe mdogo wangu kamaliza hapo, nimempigia kumuhoji kanipa ushuhuda huu

Sahihi, single moms, mateja, boda na bajaj wajao
Alafu baada ya hapo mifenist ije ianze kuwatetea na kuwalaumu wanaume .
Yaani mm ninge pata madaraka ndani ya nchi hii mijitu yenye mawazo ya kifemenist yote ningeiteka na mingine kufia jera maana ni miharibifu mikubwa ya jamii yetu.
Imagine hili tukio la hawa mabinti hakuna mwanaharakati uchwara yeyote wa kutetea haki za wanawake aliye jitokeza kuukemea lakini subiri hao mabinti wapate mimba lawama zote kwa wanaume.
 
nimefundisha dar kwa miaka 9

nakiri kusema Wazazi wanachangia pa kibwa kuharibu watoto
kuanzia shule ya msingi nyumbani watoto wana utawala binafsi
mtoto anajifunza kula ugoro shule ya msingi sababu anarudi home...wazazi hawapo

weww angalia tu mida ya jioni watoto wanaorudi home wanavyozagaa zagaa mpaka usiku mnene
mzazi hajui hasa ni muda gani mtoto anatakiwa awe amerudi nyumbani
kwanza kuna tatizo la usafiri....
lakini fanya utafiti mdogo ...watoto mpaka huwa wanachagua magari yanayopiga mziki
yaani unakuta wamekaa mbali kabisa hawapandi
lakini wakati mwingine pia ni utata wa makonda...
sasa mtoto hajulikani muda rasmi wa kirudi home
haya pia kuna bday party ambazo watoto wanazioganize jumamosi
sidhani kama wazazi wanajua hili....kule wanafundishana uhuni uliokithiri
mtoto ana aga anaenda tution...hasa hawa wa secondary
je mzazi ulishawah piga sim shule kuuliza kama ni kweli ???
cha mwisho...
malezi ya watoto wa dar ni magumu mnooo
watu wasisingizie kazi
hata sisi wazazi wetu walikua wanashinda mashambani
ni ile hali ya kutokujali imezidi hali ya maisha
mzazi anaenda shuhulini anamuacha mtoto wa darasa la nne kwa majirani
kuna vitoto vya msingi vinazurura hovyo
yaani malezi ya wazazi wa dar ni mabobu kuwahi kutokea duniani
cha mwisho :::mkisikia mtoto wenu kachapwa shule mnawajia juu walimu
mtoto anadakwa anauzia wenzake ugoro mnataka afanyweje???
wizara imesema fimbo inazozitambua ni tatu tu
haya......mnajionea
walimu hawachapi watoto kabisa sasa hivi

soln....wazazi waangalie namna wanalea watoto hapa dar...na wawe responsible kuwafatilia mashuleni
....cha pili Utemi wa zamani urudishwe mashuleni
Wazazi wanalea vizuri watoto wao lakini wakifika shuleni wanaharibiwa .pia familia za single mothers nazo zinachangia kuharibu watoto
 
Maadili mema huanzia nyumbani, lakini jamii na shule zilikuwa nguzo thabiti za kuyasimamia na kuyalea watoto wetu.

Kumbukumbu yangu ya kusoma shule ya Kisabato inanikumbusha jinsi nidhamu ilivyokuwa kipaumbele. Wakati huo, kitendo tu cha msichana na mvulana kufahamika kuwa na mahusiano ya kimapenzi ilikuwa ni ishu kubwa sana. Hata kukutwa katika "mazingira tata" kulitosha kabisa kuleta taharuki shuleni. Sheria zilikuwa ngumu, na malengo yalikuwa wazi: kulinda utu na umri wa mtoto ili ajikite kwenye masomo.

Lakini leo hii, hali imebadilika kwa kiwango cha kutisha.

Tofauti na zamani ambapo fimbo moja au karipio la mwalimu lilikuwa sehemu ya kumnyoosha mtoto, siku hizi hali ni tofauti kabisa. Mwalimu akithubutu kumpiga fimbo hata moja tu ya onyo, mzazi anakuja juu na kugeuka kuwa adui mkubwa wa mwalimu badala ya kuwa mshirika katika malezi.

Matokeo yake nini? Watoto wengi wanakosa hofu ya Mungu na heshima kwa wakubwa. Wazazi wengi wamekuwa mstari wa mbele kuwalekeza watoto wao badala ya kuwakosoa wanapokosea, wakisahau kuwa fimbo ya kuelekezewa haimuui mtoto, bali inamjenga.

Swali la kujiuliza leo: Je, tunawajengea watoto wetu misingi bora ya maisha ya baadaye, au tunawapunguzia nguvu walimu na walezi kwa kisingizio cha haki za watoto ambazo zimepitiliza mipaka?

Ni wakati sasa wa wazazi kurudi kwenye nafasi zao. Tuwe chanzo cha maadili mema na si ngao ya kupigia debe tabia za ovyo za watoto wetu.
 
nimefundisha dar kwa miaka 9

nakiri kusema Wazazi wanachangia pa kibwa kuharibu watoto
kuanzia shule ya msingi nyumbani watoto wana utawala binafsi
mtoto anajifunza kula ugoro shule ya msingi sababu anarudi home...wazazi hawapo

weww angalia tu mida ya jioni watoto wanaorudi home wanavyozagaa zagaa mpaka usiku mnene
mzazi hajui hasa ni muda gani mtoto anatakiwa awe amerudi nyumbani
kwanza kuna tatizo la usafiri....
lakini fanya utafiti mdogo ...watoto mpaka huwa wanachagua magari yanayopiga mziki
yaani unakuta wamekaa mbali kabisa hawapandi
lakini wakati mwingine pia ni utata wa makonda...
sasa mtoto hajulikani muda rasmi wa kirudi home
haya pia kuna bday party ambazo watoto wanazioganize jumamosi
sidhani kama wazazi wanajua hili....kule wanafundishana uhuni uliokithiri
mtoto ana aga anaenda tution...hasa hawa wa secondary
je mzazi ulishawah piga sim shule kuuliza kama ni kweli ???
cha mwisho...
malezi ya watoto wa dar ni magumu mnooo
watu wasisingizie kazi
hata sisi wazazi wetu walikua wanashinda mashambani
ni ile hali ya kutokujali imezidi hali ya maisha
mzazi anaenda shuhulini anamuacha mtoto wa darasa la nne kwa majirani
kuna vitoto vya msingi vinazurura hovyo
yaani malezi ya wazazi wa dar ni mabobu kuwahi kutokea duniani
cha mwisho :::mkisikia mtoto wenu kachapwa shule mnawajia juu walimu
mtoto anadakwa anauzia wenzake ugoro mnataka afanyweje???
wizara imesema fimbo inazozitambua ni tatu tu
haya......mnajionea
walimu hawachapi watoto kabisa sasa hivi

soln....wazazi waangalie namna wanalea watoto hapa dar...na wawe responsible kuwafatilia mashuleni
....cha pili Utemi wa zamani urudishwe mashuleni
Uliyoongea ni ukweli asilimia 💯 , sababu nimesoma mpaka form 6 Dar na kuishi maendeleo tofauti Dar hali halisi ndio hiyo .

Kwenye suala ya gari kwenye miziki , Miaka ya 2017-2020 nilishuhudia sana Wanafunzi wa Saku , Chamazi na Mbande walikuwa wana Magari yao wanajazana Wanafunzi tupu gari Zima kama wamekodi , humo wanachanganyika watoto wa Kiume na Kike full kupakatana , kutukana na kucheza hovyo hata Magari ya wahuni wanaoenda bichi Wana afadhali
 
Shule ina matokeo mabovu, mwaka jana kwa mtihani wa form four waliopata Division I - III ni wanafunzi 55 tu!

Kombeo la Div IV - 0 lilibeba wanafunzi 199!
Hata Mimi kipindi mdogo wangu anachaguliwa nilipocheki matokeo yao nilisikitika sana ipo very poor . Alibaki sababu yeye alienda kusoma A_level sio mamburura wa O_level
 
Mkuu

Kwanza siku hizi hamna uhuni 2015 kurudi nyuma kama ulimaliza Dar ungeona vitimbi.

Shule kama wailes, tandika, mibulani, chalambe na jitegemee ilikua na jamaa ni Pasua kichwa.

Rudi sasa chang’ombe,kibasila,azania na tambaza hawa walikua wanaiga.

Unajua mataa ya pale serengeti au mchicha yaliwekwa kisa wanafunzi kugongwa na gari sasa pale wanafunzi wamewahi kukiwasha mpaka polisi chang’ombe wakaja.

Tambua uhuni ulikuepo Bali utandawazi ndio unaofichua maovu ya sasa.
Uhuni ulikuwepo ila walikuwa wanajitambua sio usela mavi kama wa sasa .
 
watoto hawaaribiwi na mitandano,wanaaribiwa na sisi WAKUBWA
unaiba uchaguzi,unaua watu,unateka unategemea mtoto wako atakuja kua na maadili?
unakula rushwa,unasifia dhulma,wewe ni kiongozi upo hapo kutokana na wizi wa kura,dhulma na rushwa leo hii umkanye mtoto wa nani asikie?unafungua biashara ya kuuza vilevi,danguro,unategema mtoto wa nani aje kua mfanyakzi kwenye biashara yako?
 
Kigamboni kuna shule inaitwa Aboud Jumbe. Wakati akiwa raisi wa Zanzibar Aboud Jumbe alijenga nyumba Mjimwema Kigamboni. Boma lake lipo mpaka leo. Ndimo alimomalizia maisha yake.
Nilisikia hata Salmin Amour naye yupo Kigamboni hadi leo.
 
Uliyoongea ni ukweli asilimia 💯 , sababu nimesoma mpaka form 6 Dar na kuishi maendeleo tofauti Dar hali halisi ndio hiyo .

Kwenye suala ya gari kwenye miziki , Miaka ya 2017-2020 nilishuhudia sana Wanafunzi wa Saku , Chamazi na Mbande walikuwa wana Magari yao wanajazana Wanafunzi tupu gari Zima kama wamekodi , humo wanachanganyika watoto wa Kiume na Kike full kupakatana , kutukana na kucheza hovyo hata Magari ya wahuni wanaoenda bichi Wana afadhali
hahahah walikua wanataka magari ya Cops
yaani dah aiseee
 
Back
Top Bottom