masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
unaishi dar mkuu?Wazazi wanalea vizuri watoto wao lakini wakifika shuleni wanaharibiwa .pia familia za single mothers nazo zinachangia kuharibu watoto
uswahilini?? ambako watoto wengi ndo wanatoka wanaenda kata!?