Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel yan najiuliza kwanini wamefanya hivyo au itakua wamekwepa lawamaHili zoezi la kuwatafuta mamiss Tz limekuja kitofauti sana yani kwa sasa ndio naona kama wamepotea sana
Sasa Brazilian hair za nini alivaa wakati wanajua katoka Tz kwa wenye nywele kipilipili? Pathetic [emoji36]View attachment 449376kasketi hako wakuu ,labda aliamua kuvaa kiasili tuu
Hili wigi sijui mnaita weaving la nini sasa? Mlitegemea apewe umiss world kwa kuvaa nywele fake?Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
![]()
Teh teh teh! watu mna maneno! lakini kama hakua uchi basi sawa tuIle sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
Kwani vazi la kitanzania ni lipi? Je tuna vazi la Taifa? Kwa kitenge kile labda useme kavaa vazi la ki Congo woman [emoji3] [emoji3] [emoji3]Amevaa kitanzania,ulitaka aje na kimini ,acheni wivu wa kimbwiga mbwiga
Kwa nchi yetu ilivyokubwa na warembo lukuki lakini lundenga kaamua kutuwekea hayo maajabu!!!!
Asante kwa somo,leo ndo najua kwamba ukiwa umevaa hovyo hovyo ndo unakuwa MtanzaniaAmevaa kitanzania,ulitaka aje na kimini ,acheni wivu wa kimbwiga mbwiga
Sketi Nzuri saaaaaana! hasa tunaopenda mavazi ya kiasili!View attachment 449376kasketi hako wakuu ,labda aliamua kuvaa kiasili tuu
Huyu ndie Miss TANZANIA?
Shkamoo weweeata mie nilijiuliza hilo swali....hapa hamna kitu. i dnt care sijui oh kuna zaidi ya mambo ya sura lakini its a beauty contest and this lady is not beautiful.
Shkamoo wewee
Poa. ..mie bukher sijui ww...thikukuu alusha kwetu tu...karibuah mambo passion lady? mzima wewe.....siku kuu wapi?