Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

Ile sketi Aliyoshuka nayo miss Tanzania Kutoka marekani kiboko.

WaTanzania mkitaka Taji la Miss world lazima kwanza wanaotaka u miss wachukuliwe mwaka kabla ya shindano...
waende course ya kujitambua kuwa miss ni nani na anatakiwa kufanya nini, wajifunze Lugha vizuri... wajifunze ruway, mambo ya catwalk
yani wajifunze yote yanayohusika na U miss...
wajipange hasa... wafundishwe comfidence

then ndio wafanye shindano..
wakishampata mrembo .. nadhani ataenda kuwakilisha vyema kabisa!!?

mamiss universe wengi wao ni models ndio maana huwa wanafikaga mbali.
hii tabia ya kuchukua tu wasichana wasiojua chochote inatucost sana...
wanaenda kutia aibu.!!!!
lazima mamiss wapate training ya kutosha mwaka mzima kabla!!

bora wangemwacha tu LILIAN KAMAZIMA
aendelee tukuwa miss Tanzania
 
Nimefungua uzi wako nione picha sio maneno yako [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Kavaa vizuri tu sema wabongo washajizoesha kila kitu wanataka kuponda
58d7fe2dcfdadb86057b5006bffb1dd1.jpg
Hili wigi sijui mnaita weaving la nini sasa? Mlitegemea apewe umiss world kwa kuvaa nywele fake?
 
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka kituko huko alikua vichekesho tu.
Teh teh teh! watu mna maneno! lakini kama hakua uchi basi sawa tu
 
Amevaa kitanzania,ulitaka aje na kimini ,acheni wivu wa kimbwiga mbwiga
Kwani vazi la kitanzania ni lipi? Je tuna vazi la Taifa? Kwa kitenge kile labda useme kavaa vazi la ki Congo woman [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kwa nchi yetu ilivyokubwa na warembo lukuki lakini lundenga kaamua kutuwekea hayo maajabu!!!!

Mkuu Asante "Maajabu" ndio neno haswaa maana nilitafuta neno kwenye kamusi nikaliruka maajabu.
 
sitaki kuamini kama kuna mwanaume anamponda huyu binti. nafikiri wote ni wanawake wenzie
 
Back
Top Bottom