Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

Ahead

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
2,410
Reaction score
2,734
Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like limekaribia.

MENE MENE TEKELI NA PERESI.
 
Kwamba daa hatamaliza muda wake na kufanya asiyechaguliwa kwenye boksi kuongoza hadi muda wa uchaguzi?
 
Huyu https://www.jamiiforums.com/search/143670839/?t=post&c[users]=Tumia+akili&o=date hii ni update ya huo uzi

 
Back
Top Bottom