Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

Eti 30+ mnaita watu mashangazi hata hamjijui licha yakujua mashangazi nini ?? Mnaongeaga tu maana wala hamjui mashangazi ni ipi??

Sasa oneni hii picha namuache kuwaita wadada wawatu mashangazi
 

Attachments

  • Screenshot_20240715_174109_Facebook.jpg
    Screenshot_20240715_174109_Facebook.jpg
    305.6 KB · Views: 18
Shida ya Grouped data ni ukishaingia kwenye ile Interval tu hatuzingatii Frequency.

As long as wewe ni 30+ au below ila una Kitambi utabaki kua mshangazi bila kujilinganisha na hao uliotaka tuwone.
 
Sema nini SweetyCandy We ni mshangazi mmoja mtamu sana cheki upaja ni kifuniko tosha huitaji Pichu. Vikishirikiana na mtumbo na Mtindi ndo kabisa huitaji hata Nguo.
Screenshot_20240718_001826_Chrome.jpg
 
Kuna muda mshangazi naona ni safi ila mmm ngumu kukuzalia, hao rika sasa + na hao kompetita wa mishangazi longolongo kibao, naona bora jf nikipitia najikuta stress free na usingizi kama wote
 
Ili uitwe shangazi, jitahidi usogee mjini au karibu na mjini ili vijana wakuone.

Ila ukiendelea kuishi Tukuyu, Ujiji, Maswa, Ukerewe ni, wewe utakuwa ni mbibi.
 
Ili uitwe shangazi, jitahidi usogee mjini au karibu na mjini ili vijana wakuone.

Ila ukiendelea kuishi Tukuyu, Ujiji, Maswa, Ukerewe ni, wewe utakuwa ni mbibi.
Hivi ulivyo mrefu hivyoo na hicho kifua mashangazi,hAwakimbii
 
Back
Top Bottom