Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.

Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume

Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.

Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
 
Ndoa hailazimishwi, huko unakosikia wana ndoa wamechomana visu ndiyo hayo mambo ya kulazimishana. Umri ukisogea kamahujaolewa anza kujitengenezea uzee wako.

Hakikisha una nyumba nzuri yenye madirisha yanayoingiza hewa vizuri. Kitanda kizuri, ukijiweza chumba ensuite.

Mrudie Mola wako, kuna wanaoolewa na miaka 60.
 
Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.

Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu.

Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume

Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mm kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.

Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Sexless , hapa ni jukwaa la siasa, twende ukanitongozee mbele ya paroko
 
Sahivi usiangalie, we zoazoa tu unaweza ukapata bahati ukazoa Tanzanite ukatulia nayo mpaka kuzikana.
 
Ndoa hailazimishwi, huko unakosikia wana ndoa wamechomana visu ndiyo hayo mambo ya kulazimishana. Umri ukisogea kamahujaolewa anza kujitengenezea uzee wako.

Hakikisha una nyumba nzuri yenye madirisha yanayoingiza hewa vizuri. Kitanda kizuri, ukijiweza chumba ensuite.

Maudie Mola wako, kuna wanaoolewa na miaka 60.
Mwanaume ataolewaje huyu
 
Back
Top Bottom