joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Unaendelea kuuza chai kama kawaida yako mara mwanaume mara mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😆😅😅Picture Muhimu Tuone Yaliyomo YamoMnataka muone nini?Acheni kudeka.Tengenezeni picha vichwani.Imaginary visions.😂😂😂😂
HaaKigezo awe anapumua tu
Hii ni fujo.Mkiweweseka muanze kuuliza waganga walipo.Mtulie dada aolewe!😝😝😝😁😆😅😅Picture Muhimu Tuone Yaliyomo Yamo
Ndo ivyo akuna kuremba.Kigezo awe anapumua tu
PCHA NI MUHIMU TUONE YALIYOMO YAMOHakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.
Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume
Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.
Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Hahahaha, umenichekesha sana uandishi wako but honestly nimekuonea huruma sana, nna dada yangu hajaolewa mpaka leo wakati huo wadogo zetu wote washaolewa so huwa namuona status zake what's app anahangaika sana.....all in all mwanamke anahitaji kuwa na mume...overHakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.
Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume
Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.
Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.
Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume
Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.
Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Hii katuni inaitwaje mkuu
Kadownload bitmojiHii katuni inaitwaje mkuu
DuhUnaendelea kuuza chai kama kawaida yako mara mwanaume mara mwanamke.
Kama Diva the bawse. au sio?Sahivi usiangalie, we zoazoa tu unaweza ukapata bahati ukazoa Tanzanite ukatulia nayo mpaka kuzikana.
Tongoza tu, Dunia yenyewe ndio hii hii...Ukisubiri Dunia nyingine utachelewa......Tena anza na wanaume wa JF....Bado haujachelewa.Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.
Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume
Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.
Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Ha haaaaaa haaa hivi nini lakini kuwa desperate hivyo?Kuna rafiki yangu kaniambia "mwaka huu lazima niolewe hata kama na tahira".