Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

Ili kukimbizana na umri kuanzia wiki ijayo naanza kutongoza wanaume

Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.

Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume

Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.

Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Kama sio wakili msomi wewe ni waifu matirio iliyekuwA nakutafuta miaka miaka yote... nihakimishie Hilo nije PM chap kwa haraka
 
Kuwa makini. Usije kukuta anazo mbili.... usiku unaamka unashangaa anakubashia. Si umeona anajiita sexless?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa hailazimishwi, huko unakosikia wana ndoa wamechomana visu ndiyo hayo mambo ya kulazimishana. Umri ukisogea kamahujaolewa anza kujitengenezea uzee wako.

Hakikisha una nyumba nzuri yenye madirisha yanayoingiza hewa vizuri. Kitanda kizuri, ukijiweza chumba ensuite.

Mrudie Mola wako, kuna wanaoolewa na miaka 60.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee.
 
Kuna rafiki yangu kaniambia "mwaka huu lazima niolewe hata kama na tahira".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aunt taratibu bas nawee, ndoa tamu bhana.
 
Huyu ID yenyewe ni sexless huenda anajinsia mbili sina imani nae unalala kitandani nae kitandani badala ya kumaliza unakuta na ile ya pili yake inataka kushtuka kashachomeka
Ushauri ukiona kitu kinapigiwa mnada sana kuwa makini na kitu hiko mi simo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hujakosea hili ni dume kweli, limeamua kuja kwa mwandiko wa kike. Shauri zake ngoja wahuni wajee walipelekee moto kweli.

kesho kutwa aanze kutudekea humu kama kina cocastic/ James delicious.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani usingenitaja mie comment yako isingeeleweka? Au nimekukaa sana moyoni husikii huoni ni mie tyuuh, kupelekewa motoo ajabu kwan? Nawee pelekewa motooo kwan tobo huna ambalo mkunyenge unaweza pita? Sasa yeye akipelekewa moto wee unateseka na kipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hebu nipishee kuleee, kupelekewa motooooo ni fashiooooooooooooooon!!! Weuweeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi kama Ndoa ipo ipo tu na kama haipo haipo tu ni kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
 
Back
Top Bottom