Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nianze na wewe kwanza. Ili nijue nina mashahidi wa utetezi kesi ikienda mahakamani qWe Babu wewe[emoji1787] kasema msimuogope mkagueni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nianze na wewe kwanza. Ili nijue nina mashahidi wa utetezi kesi ikienda mahakamani qWe Babu wewe[emoji1787] kasema msimuogope mkagueni
Shauri yako utakutana na kitu sexlessNianze na wewe kwanza. Ili nijue nina mashahidi wa utetezi kesi ikienda mahakamani q
Inasoma saa ngap vile?Hakika kilometa zimesonga, usoni make ups hazikai tena na komwe la uzee limeanza kuonekana. Mikunjo ya uzee napambana nayo kwa kuiziba na vipodozi lkn wapi.
Nyonga zimeanza kukakamaa lkn mpk leo sina mtu ninayemwita mume wangu. Menopause bado muongo mmoja na ushee ijenge kambi kwangu. Sasa kabla sijaharibikiwa zaidi naanza kutongoza wanaume rasmi ili nipate mume
Wanaume na ninyi acheni kuniogopa hebu muwe mnajiamini basi. Mimi kwa sura nimeumbika na shepu imetulia Beyonce anasubiri. Pia rangi ya mtume imetamalaki kwangu. Lkn isiwe sababu ya ninyi kuniogopa.
Yeyote atakayesoma uzi huu amtaarifu na mwenzake.
Saa tisa kasoroinasoma saa ngap vile?
nataka nianze na wewe mchumba, andaa kijambio hiko nikupelekee moto, nikukune sawasawa mpaka uniite mume wako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani usingenitaja mie comment yako isingeeleweka? Au nimekukaa sana moyoni husikii huoni ni mie tyuuh, kupelekewa motoo ajabu kwan? Nawee pelekewa motooo kwan tobo huna ambalo mkunyenge unaweza pita? Sasa yeye akipelekewa moto wee unateseka na kipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nipishee kuleee, kupelekewa motooooo ni fashiooooooooooooooon!!! Weuweeeeeeeeeeeeeeeeeh
MaBaKweli we ni sexless, leo ni KE kesho tena utakuwa ME. Maisha yenyewe mafupi haya jipe raha mama.
Huna lolote.... uchoyo tuShauri yako utakutana na kitu sexless
Hapa Ukraine nimepewa SmG bure nijitolee
Isaya 4.1Maandiko ya biblia lazima yatimie watamfuata mume mmoja na kuwaambia wewe ni wetu
Naomba mwenye il aya aquote kidogo 😂😂😂sijaiweka kama ilivyo
Sawa sawa 🤣🤣🤣Isaya 4.1
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We Babu wewe[emoji1787] kasema msimuogope mkagueni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkunyenge unao sasa? Mie kupakazwa shombo sitaki lolnataka nianze na wewe mchumba, andaa kijambio hiko nikupelekee moto, nikukune sawasawa mpaka uniite mume wako.