Uchaguzi 2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

Ninao uhakika kuwa ndugu Mayala alikuwa Tanzania kipindi cha miaka 5 iliyo pita.....sasa basi, hebu mnisaidie tatizo ni elimu, malezi, au kitu gani???....maana hata yaliyo wazi mtu mzima akiyakana, inakuwa aibu kwa wenye busara.
 
Maelezo mareeefu ila pumba tupu,acha unafiki!
 
Paskali ulishirikisha ubongo wakati unaandika hayo? Uchaguzi wa zanzibar 2015 cuf walikosa nini ili kutangazwa washindi?
 
Unajifanya kutushauri wakati Ndio tunachotaka
Waambieni tume wasilete mizengwe kwenye Habari ya mawakala
 
Mwaka huu patawaka
 
Paschal mwacheni atafute ukuu wa mkoa baada ya uchaguzi
 
Mwaka huu nenda kapige kura , hakuna kura ya mtu itakayoibiwa. ..........Mh. Tundu Lissu.
Baada ya uchaguzi:
Nimeibiwa kura zoooote...hahhhahaha
Hii tabia ya kutokukubali matokeo inabidi tuitafitie dawa
Naunga mkono hoja, tena kuna akina sisi, tuliwashauri vizuri kabisa kabla
p
 
Wewe hua unamwamini??!
 
Pasko
You are the best
Leo Lissu anasema hawakuwa na mawakala!!!!!!
Mkuu Waberoya , thanks, na kiukweli, jf tunaisaidia sana nchi hii na Mungu anaona, japo Mkuu Maxence Melo , anateseka sana na kesi mahakamani kwa ajili ya jf, lakini Mungu anasimama nae, na anabarikiwa sana, kwasababu ni kwa kuteswa kwake sisi tunaponywa!.

Na jf sio tuu tunasaidia wapinzani au Watanzania, amini nakuambia, tunamsaidia sana tuu, japo hasemi, wala there's no public recognition, lakini moyoni anajua, ukosoaji wa humu jf unamsaidia kuliko wasifiaji!


P
 
We jamaa Ni mmoja Kati ya watu walinifanyaga nikawa member hapa ulikua smart Sana Ila Sasa hivi umevua ngozi ya kondoo ukatuonesha na canine mazima
 
Pasko

You are the best


Leo Lissu anasema hawakuwa na mawakala!!!!!!
Hawakuwa na mawakala kwa sababu hawakuweka wakala au hawakuwa na wakala kwa sababu mawakala walizuiwa?! Ona sasa huyo Pascal Mayalla unayemwita the best anavyokutandika kwa tusi la reja reja kukuwekea uzi wa zamani wa "Kati ya Wakosoaji wa Rais Magufuili na Serikali yake, na wasifiaji, nani wanamsaidia zaidi"?

Yaani msifiaji mwenzako amekutwisha na tusi la kisiasa kwa sababu bila shaka anafahamu ni kwanini TL alisema hawakuwa na mawakala tofauti na hivyo unavyojaribu kumaanisha!!!
 
Yaani huyu Babu anatunafikia balaa anaboa balaa..atuachr kwakweli na Hali zetu..kila mtu ashinde mechi zake
Ni kweli huu ni unafiki wa wazi, Mayala anatambuwa kuwa tatizo la uchaguzi ni kibwa. Chana kinaweza kuandaa wakala,wakala akanyimwa baruwa ya utambulisho, anaweza kupewa baruwa wakamzuia kuingia kituoni, anaweza kuingia kituoni akatimuliwa wakati wowote kwa mtutu wa bunduki.
 
Heshima ambayo tulikuwa tunampa hapa jukwaani haipo tena
 
Kama wanataka kuwa transparent huwa wanahofia nini vyama vya siasa vikifanya majumuisho based on hizo kura zilizobandikwa vituoni?
 
Yaani wewe unatia kichefu chefu
 
Hawa hata mwenyekiti wa tume angekuwa Edwin Mtei, mkurugenzi wa tume awe Allute Mugwai Lissu wajumbe wawe prof Safari na prof Baregu na ofisi za tume ziwe ufipa wasingeweza kutoboa kwa Magufuli uchaguzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…