Uchaguzi 2020 Ili kuondoa utata kuwe na mawakala wa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi katika vituo vyote na wapewe 'nakala' za matokeo

Uchaguzi 2020 Ili kuondoa utata kuwe na mawakala wa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi katika vituo vyote na wapewe 'nakala' za matokeo

Magu ni mwepesi saana!! Siasa haziwezi na ndiyo maana kina (pole) x2 na ngenge lake wanamdanganya kila kukicha.... anawapa mihela wanasonda.. chama linazidi kufa.
 
Uchaguzi ukiwa huru,fair and transparent Magufuli hawezi shinda, maana watu wote wenye akili timamu wanaojipenda na kuipenda Tanzania hawawezi kumpa kura magu
 
Kwani hicho nacho unaona ni hoja? Si hicho amecheza hadi muziki!!
Yote hayo ni uthibitisho kuwa Magufuli amekosa kibali cha wananchi.Yote haya ni anahangaika sana kama kithibitisho kuwa anawahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye.

Kama kwa kipindi cha miaka mitano amefanya mambo makubwa sana iweje leo hii awahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye??
 
Hii picha ni ya lini?! Ingekuwa ni ya siku hizi ningefurahi zaidi, lakini nafikiri itapigwa picha nyingine kama hii baada ya October na mmoja wapo atamkabidhi mwingine kijiti.
 
Votu vilivyomwangusha sana Magu ni kuwatumia wasiojulikana, kuminya demokrasia, uhuru wa watu, uhuru wa maoni na uhuru wa vyombo vya habari, diplomasia ya kimataifa na ya ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mbna kakasirika sana what was going on hapo??
 
Uchaguzi ukiwa huru,fear and transparentMagufuli hawezi shinda, maana watu wote wenye akili timamu wanaojipenda na kuipenda Tanzania hawawezi kumpa kura magu
Ni mafisafi na wezi wa mali za umma ndiyo ambao hawatampa kura Magufuli lakini watz walio wengi kura zao ni kwa Rais Magufuli tuuu!
 
Yote hayo ni uthibitisho kuwa Magufuli amekosa kibali cha wananchi.Yote haya ni anahangaika sana kama kithibitisho kuwa anawahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye.

Kama kwa kipindi cha miaka mitano amefanya mambo makubwa sana iweje leo hii awahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji yeye??
Who told you kwamba wananchi hawamhitaji Magufuli. Acha kuwasemea watz subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo tutajua kama kweli unachokisema ama la!
 
Ni mafisafi na wezi wa mali za umma ndiyo ambao hawatampa kura Magufuli lakini watz walio wengi kura zao ni kwa Rais Magufuli tuuu!
Na wale waliomuondoa prof Assad kwenye ofisi ya umma baada ya kuhoji 1.5 T iko wapi naamini hawatampa magu
 
Naunga mkono hoja..
Pamoja na kwamba Magufuli amepiga kampeni kwa miaka mitano na miezi hii miwili ya NEC lakini ukifuatilia vizuri kampeni zake, utagundua kuwa ana hofu zaidi ya kushindwa kupata kura za kumuwezesha kushinda uchaguzi ikiwa na maana kwamba asilimia kubwa anaamini anaweza kushindwa...
 
Who told you kwamba wananchi hawamhitaji Magufuli. Acha kuwasemea watz subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo tutajua kama kweli unachokisema ama la!
Nasema wananchi hawamuhitaji Magufuli kwa sababu sijaona wakimpigia Magufuli magoti ila nimeona Magufuli akiwapigia wananchi magoti.Hii maana yake ni kwamba Magufuli anawahitaji wananchi kuliko wananchi wanavyomuhitaji Magufuli
 
Who told you kwamba wananchi hawamhitaji Magufuli. Acha kuwasemea watz subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo tutajua kama kweli unachokisema ama la!
Hali za maisha ya wananchi
Kauli zake kwa wananchi
 
Back
Top Bottom