Uchaguzi 2020 Ili kuondoa utata kuwe na mawakala wa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi katika vituo vyote na wapewe 'nakala' za matokeo

Uchaguzi 2020 Ili kuondoa utata kuwe na mawakala wa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi katika vituo vyote na wapewe 'nakala' za matokeo

Hivi mtu kabisa umekaa unawaza kwamba Magu anahofu ya kushindwa?

Lisu haungwi mkono na tasisi yeyote ya vyombo vya usalama sababu ya umbumbumbu wake wa kushindwa kujua awateke vipi.

Kaenda zanzibar kasema eti chadema haina maslahi na zanzibar. Hii kauli ina utata sana tasisi kama jeshi wanamuona huyu ni muhuni tu.

Kisha Amsterdam anapambana kufa kupona Lisu awe rais. Hiki kitu taasisi kama ya usalama wa taifa wanamuona Lisu kama kibaraka flani.

Yani Lisu sijui hata kama ana washauri
Na haya ndo mawazo ya wanaccm kuwa Rais anapitishwa na Tiss,sio kura za wananchi.kiama chenu kiko njiani,iko siku mtaona umuhimu Wa kura za wanachi wakati miti yote ikiteleza.
 
Back
Top Bottom