Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Hakuna ndege kubwa inaenda chato. Kama hujui ukinyamaza unaficha mapungufu yako mengi sanaUnajua gharama za kupandisha ndege angani -take off, na kuishusha? Kwa yale madege makubwa makubwa? Unalirusha na kulishusha kwa Kila dakika tano? Halafu hivyo vinauli vya Chato mwanza ndio vifidie mafuta hayo? Haiwezekani, hiyo ruti ifutwe