Kuna ndege gani nyingine zinatua huko kibiashara? Usitetee upuuzi wa mtu mmoja mbinafsi.Route ya Chato hakuna hasara na sasa ndege inaenda mara tatu kwa wiki badala ya mara mbili. Wawekezaji migodini hawapitii tena Mwanza airport. Rwanda na Uganda ni karibu kutokea Chato bila kusahau mbuga za wanyama Burigi...