Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Mtu muwongo sana kama ww. Ww familia yako imejaa ulozi unasema wengine. Pamban na kwako na walozi yenu.kwenye familia nyingi zakiafrika kama ni baba au mama ndie breadwinner akishafariki tu mali zote zinaisha na familia iliyobakia nyuma utajiri wao wote unatoweka kwasababu behind utajiri wote wafamilia kuna makafara,masharti na ndagu zakutosha ambozo mzazi amejifunga navyo nasio rahisi kuweka wazi mchongo wakishirikina kwa watoto wake au kizazi chake kijacho hivyo akifariki tu anaondoka na utajiri wote wafamilia