Ili kuwatuliza mashabiki wenye hasira kufungwa na Raja Casablanca FC jana nina uhakika hili kutokea muda wowote

Mwendawazimu uliyebarikiwa kuwa na smart phone na kuanzisha nyuzi hapa jf.

Jana ulikesha uwanjani unaroga Simba asifungwe.Na wewe ndio mmoja wa watu uliowaaminisha mashabibiki wa Simba eti kwa mlichokifanya uwanjani Raja hawatoki!

Leo unaweweseka tu na tabiri za kipuuzi.
 
Narudia tena, (Witch doctor), Mgunda, hatamuacha Robertinho na Simba salama.
Labda wamtoe.
 

Mtamlsumu kocha wenu bure wakati washambuliaji wenu wote wazee na haya ni mashindano makubwa. Sasa ulitegemea wazee Kama Bocco, Chama, Saido wafanye nini? Ongeza Baba Esther, Hussein, Mzamiru, Onyango, Sawadodo.
 
Horoya sio wajinga kama nyie
 
Usiwaze kuwa Yanga atafungwa Leo,, Yanga kwa kikosi kile sio Timu ya kufungwa Nyumbani tena BAO kama hizo za Makolo. Sahau mkuu, Kwa ushindi wowote Leo Yanga twapenya
Kikosi cha mazembe unakijua?
 
Team tatu zipoje izo ukimtoa Raja?
 
Mkuu coaching nmeona Iko sawa.
Na mumsgukuru sana robertinho anajua kuzuia golinyingi zisiwanyeshee.

Hapo me sikuona ubaya wa coacher.
 
Vipi ule uzi wako wa laja kuingia mtegoni mwa SimbaπŸ˜…, vipi ule uzi wako wa Alphard nyeus ya YangaπŸ˜….... Leo umehamia kwa kocha tena... Timu ni timu mbovu Sana.
 
Usiwaze kuwa Yanga atafungwa Leo,, Yanga kwa kikosi kile sio Timu ya kufungwa Nyumbani tena BAO kama hizo za Makolo. Sahau mkuu, Kwa ushindi wowote Leo Yanga twapenya
Shida inaanzia kujinasibu Sana ,baadae mnakimbiaga nyuzi.
Mpira hauko hivo ndugu ,Jana as Vita kakalishwa nyumbani kwake.
Wewe ombea tu mshinde Ila kuweka uhakika kuwa yanga hawez kufungwa nyumbani nadhan unajitakia pressure za bure tu.mpira una matokea ya kikatili Sana ,tupunguze kujiamin Sana ,timu zetu hazina uwezo Kama tunavyoaaminishwa na mitandao ya kijamii .
Mpira wa bongo ni maneno tu Ila uhalisia haupo Ivo.
 
Umeandika kanakwamba unakimbizwa hivyo Au unamihemko Sana Au jazba Fulani kiasi hujeleweki KBS japo ulichoandika ni bonge la hoja

Tukiacha hayo ukweli kocha huyo wa simba simwelewi kuanzia kuongea kwake hadi anachofundisha
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…