Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendawazimu uliyebarikiwa kuwa na smart phone na kuanzisha nyuzi hapa jf.Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.
Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.
Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.
Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.
Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.
Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.
Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.
Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.
Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.
Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.
Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
Mtamlsumu kocha wenu bure wakati washambuliaji wenu wote wazee na haya ni mashindano makubwa. Sasa ulitegemea wazee Kama Bocco, Chama, Saido wafanye nini? Ongeza Baba Esther, Hussein, Mzamiru, Onyango, Sawadodo.Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.
Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.
Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.
Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.
Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.
Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
Horoya sio wajinga kama nyieBora utulie tu, sitegemei Simba Sc wamfukuze kocha mkuu kisa tumefungwa na timu iliyotuzidi uwezo kila idara, huo ndio uwanja wa kujifunza, tumeyaona mapungufu yetu kilichobaki tuyafanyie kazi.
Hili kundi kwangu naona bado Simba Sc ana nafasi, kwasababu timu tatu zilizobaki zina uwezo wa kufanana na Simba Sc, hazina ubora kama wa Raja, ni Simba tu wajipange wazicheze karata zao vizuri kwa game zilizobaki.
Simba SC waanzie na Vipers away, hakuna lisilowezekana, na kama ikitokea Raja akashinda nyumbani kwa Horoya, then Simba akija kumfunga Horoya zaidi ya goli mbili nyumbani, mambo yatapendeza tu..
Kikosi cha mazembe unakijua?Usiwaze kuwa Yanga atafungwa Leo,, Yanga kwa kikosi kile sio Timu ya kufungwa Nyumbani tena BAO kama hizo za Makolo. Sahau mkuu, Kwa ushindi wowote Leo Yanga twapenya
Team tatu zipoje izo ukimtoa Raja?Bora utulie tu, sitegemei Simba Sc wamfukuze kocha mkuu kisa tumefungwa na timu iliyotuzidi uwezo kila idara, huo ndio uwanja wa kujifunza, tumeyaona mapungufu yetu kilichobaki tuyafanyie kazi.
Hili kundi kwangu naona bado Simba Sc ana nafasi, kwasababu timu tatu zilizobaki zina uwezo wa kufanana na Simba Sc, hazina ubora kama wa Raja, ni Simba tu wajipange wazicheze karata zao vizuri kwa game zilizobaki.
Simba SC waanzie na Vipers away, hakuna lisilowezekana, na kama ikitokea Raja akashinda nyumbani kwa Horoya, then Simba akija kumfunga Horoya zaidi ya goli mbili nyumbani, mambo yatapendeza tu..
Swahiba makolo 2 zimekatika kule kwenye head ujue 😂😂Yule Manzoki alikuwa wa shoofu tu Swahiba. 😂😂
Hahahahaaa. Mbumbumbu. Teh tehSwahiba makolo 2 zimekatika kule kwenye head ujue 😂😂
Huyu jama huwaga muongomuongo utabiri ni wakijanja. Hapa sawa na kumtabiria mjamzito kuwa atajifungua mtoto wa kike au wa kiume. Yeyote kati yao akizaliwa unaelemea upande uliyopatia. Hii ndiyo anayofanya huju jamaa.
Shida inaanzia kujinasibu Sana ,baadae mnakimbiaga nyuzi.Usiwaze kuwa Yanga atafungwa Leo,, Yanga kwa kikosi kile sio Timu ya kufungwa Nyumbani tena BAO kama hizo za Makolo. Sahau mkuu, Kwa ushindi wowote Leo Yanga twapenya
Umeandika kanakwamba unakimbizwa hivyo Au unamihemko Sana Au jazba Fulani kiasi hujeleweki KBS japo ulichoandika ni bonge la hojaAma kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.
Na tena kama leo Yanga SC itamfunga TP Mazembe kwa Mkapa haya Maamuzi ya Kuachana na Kocha Mbrazili Robertinho Oliviera yatafanyika haraka ili Kuwatuliza Mashabiki wa Simba SC ambao watakuwa na Hasira za Kufungwa Goli 3 kwa 0 na Raja Casablanca FC jana na huku wakiwa Wanataniwa na Watani zao Yanga SC.
Ahueni ( pona pona ) ya Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa itatokea endapo tu na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa kwakuwa Wote watachekana na Presha haitokuwa Kubwa ila Yanga SC ikishinda leo na ikitokea na Jumanne Simba SC akafungwa au akatoka Sare / Suluhu na Azam FC katika Mechi yao ya NBC Premier League tegemeeni huu Utabiri wangu wa Kocha Mkuu wa Simba SC Mbrazili na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa na Mgunda na Matola Kukabidhiwa Timu mpaka mwisho wa Msimu.
Ukibarikiwa na Mwenyezi Mungu hasa kuwa Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person kama MINOCYCLINE ni raha sana.
Nilionya mapema kwa kuja na Uzi Wiki Mbili kabla ya Simba SC kucheza Jana na Raja Casablanca FC Jana kuwa Raja Casablanca FC wako juu ya Simba SC katika kila Idara na kwamba Simba SC itafungwa tu nikaishia Kupuuzwa, Kutukanwa na Kudhihakiwa na kama Kawaida nilichokisema Kikatokea kwa Mkapa Jana.
Na hata hili la Kocha Mkuu wa Simba SC na baadhi ya Watendaji wake Kufukuzwa ama kabla ya Mechi na Azam FC Jumanne au baada nina uhakika kuwa linaenda kutokea na pona pona ya Kocha Mkuu wa Simba SC kutofukuzwa ni kama na Yanga SC nao leo Watafungwa na TP Mazembe FC kwa Mkapa na Jumanne Simba SC ikimfunga Azam FC katika NBC Premier League vinginevyo anaenda Kufukuzwa na Mgunda pamoja na Matola watakabidhiwa Timu hadi mwisho wa Msimu.
.Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa Watamalizia Msimu wote na Simba SC.