Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

Huwa najitahidi kuongea ukweli, japo mara nyingine watu wananikasirikia. Nakumbuka mapema sana, kabla hata jina Bulldozer halijajulikana kitaifa na kimataifa, nilisema humu JF Magufuli ni mchapa kazi sana, lakini labda ningependelea awe na nafasi ya Waziri Mkuu badala ya Raisi, kwa sababu anafanya kazi kama bulldozer, nikimaanisha alihitaji mtu ambaye sio "impulsive" kumwongoza, kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine. Baadaye nilishangaa kuona jina Bulldozer limemnasa Magufuli.

Sasa nitawaambia jambo jingine. Tanzania tumegawanyika kwa sasa, pro na against Magufuli. Huko nyuma nilisema pia Tanzania ilikuwa imefikia pabaya sana na hivyo labda ilikuwa vema na wakati muafaka kupata kiongozi wa namna ya Magufuli, angalau kwa miaka kumi. Lakini sasa najua kwamba miaka kumi haitatosha. Najua hii ni kauli ya kuleta hasira, lakini ndio ukweli wenyewe.

Hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka alipoikuta Magufuli kwa kipindi cha miaka kumi tu. Na hatari ya miaka kumi ni kwamba raisi atakayefuata anaweza kuharibu mazuri yote yaliyofanywa, kwa sababu yale mazuri yanakuwa hayajaota mizizi sawasawa (established sustainable systems). Na hiyo ni ukweli wa-kishule (academic truth) kwamba ili nchi iendelee inahitaji mipango ya muda mrefu isimamiwe na mtu ambaye yuko committed kuisimamia (committed leadership to implement strategic national development plans). Hakuna mpango wa muda mrefu wa kuiendeleza nchi utakaotekelezwa chini ya miaka kumi. Huo ndio ukweli wenyewe.

Ukiangalia historia ya mataifa yaliyoendelea haraka chini ya viongozi wao maarufu, utaona kwamba mafanikio ya nchi hizo hayakuletwa na viongozi waliobadilisha hizo nchi katika kipindi cha miaka kumi tu. Mifano mizuri ni Singapore, Malaysia na hata Rwanda. Singapore kwa mfano, kuna wakati fulani kiongozi wao alilalamikiwa, na hata kukasirikiwa kwa maamuzi magumu aliyofanya, lakini angalia alipoifikisha Singapore, toka taifa masikini sana. Ilimchukua miaka zaidi ya kumi kufanikisha hilo. Malaysia ni hivyo hivyo na Rwanda ndiko wanakoelekea.

Huwezi kuilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani, ambao tayari wana "established systems" ambazo hazihitaji raisi mzuri kukaa madarakani zaidi ya miaka nane. Na mie ni wa kwanza kukubali kwamba ukiweka utarataibu wa kutokuwa na kikomo cha uraisi kabla hujampata Raisi mzalendo kama Nyerere au Magufuli, hatari ni kwamba unaweza kumpa nafasi raisi fisadi au mbovu akaharibu sana nchi. Mifano ya nchi za namna hiyo ipo mingi imetuzunguka.

Lakini sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani. Yapo ambayo sikubaliani na Raisi Magufuli, na hata kumkasirikia mara nyingine. Lakini ni mengi zaidi ninayokubaliana naye, hasa katika kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji. Watanzania tulilala sana, tulifikia uozo mbaya sana. Niliwahi kuwaambia kuna mke wa raisi alimfokea kiongozi wa bandari kwa kukataa kuyatoa makontainer yake bila kuyalipia kodi. Aliitwa ikulu (na mke) na akaishia kuyatoa bila kupenda.

Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.
Kipimo kikubwa cha mtahiniwa ni kufaulu mtihani kwa muda uliopangwa. Kila kitu kina time limit. Ukishindwa kumaliza task au assignment kwa muda uliopangwa tayari wewe ni failure. Hivyo muda uliowekwa kikatiba utumike kiusahihi, hakuna visingizio hapa.
Kwa hiyo Hoja yako Ni DHAIFU, na kwa ajili hiyo hoja INAPINGWA VIKALI, HAIKUBALIKI.
 
Mkuu nakubaliana nawe ktk yote, nami 2015 niliwaambia watu kuhusu haiba ya utawala na si uongozi wa Magufuli. Ni mtendaji mzuri sana. Ila niliwaambia pia kwa mwaka ule vinara wote ktk ule uchaguzi walitakiwa wawe ni mawaziri wakuu tu, si uraisi.

Kuhusu vipindi vya utawala, nami huwa napendelea usio na kikomo au hata kama kuwe na vipindi lakini asizuiliwe mtu afaaye kugombea hata awamu zote hadi uwezo wake utakapomuishia, hata kifo kimtenganishe na uongozi. Kwanza ni gharama sana kuendesha uchaguzi.

Hili likishindikana, basi 2025 achaguliwe raisi na huyu abaki kuwa waziri mkuu wake. Swala hapa ni maslahi mapana ya taifa, mfumo ujengwe ktk hilo si kuiga tu kila kitu kama wanavyotuletea.

Ni ujinga kumuacha kiongozi afaaye na kumuingiza asiyefaa kisa tu mfumo, au demokrasia. Tunazungumzia maslahi mapana ya nchi hapa.
 
Kipimo kikubwa cha mtahiniwa ni kufaulu mtihani kwa muda uliopangwa. Kila kitu kina time limit. Ukishindwa kumaliza task au assignment kwa muda uliopangwa tayari wewe ni failure. Hivyo muda uliowekwa kikatiba utumike kiusahihi, hakuna visingizio hapa.
Kwa hiyo Hoja yako Ni DHAIFU, na kwa ajili hiyo hoja INAPINGWA VIKALI, HAIKUBALIKI.
Nadhani mtoa mada alimaanisha, baada ya miaka hiyo kumi na Raisi akawa amefanya vyema, je atoke tumjaribu mwingine? Tumuache aliyetufaa tumjaribu mwingine?
 
Naelewa, sheria ya mtihani au elimu ina kikomo. Ndiyo maana baada ya PhD na level ya mtu kuwa professor huwa hakuna elimu tena. Kinachobaki ni kuandika vitabu nk. Na kwa uongozi, cheo cha Urais ni cha mwisho, ukishakitumikia katika muda uliowekwa, kinachofuata ni kuwa mshauri tu.
 
Huwa najitahidi kuongea ukweli, japo mara nyingine watu wananikasirikia. Nakumbuka mapema sana, kabla hata jina Bulldozer halijajulikana kitaifa na kimataifa, nilisema humu JF Magufuli ni mchapa kazi sana, lakini labda ningependelea awe na nafasi ya Waziri Mkuu badala ya Raisi, kwa sababu anafanya kazi kama bulldozer, nikimaanisha alihitaji mtu ambaye sio "impulsive" kumwongoza, kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine. Baadaye nilishangaa kuona jina Bulldozer limemnasa Magufuli.

Sasa nitawaambia jambo jingine. Tanzania tumegawanyika kwa sasa, pro na against Magufuli. Huko nyuma nilisema pia Tanzania ilikuwa imefikia pabaya sana na hivyo labda ilikuwa vema na wakati muafaka kupata kiongozi wa namna ya Magufuli, angalau kwa miaka kumi. Lakini sasa najua kwamba miaka kumi haitatosha. Najua hii ni kauli ya kuleta hasira, lakini ndio ukweli wenyewe.

Hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka alipoikuta Magufuli kwa kipindi cha miaka kumi tu. Na hatari ya miaka kumi ni kwamba raisi atakayefuata anaweza kuharibu mazuri yote yaliyofanywa, kwa sababu yale mazuri yanakuwa hayajaota mizizi sawasawa (established sustainable systems). Na hiyo ni ukweli wa-kishule (academic truth) kwamba ili nchi iendelee inahitaji mipango ya muda mrefu isimamiwe na mtu ambaye yuko committed kuisimamia (committed leadership to implement strategic national development plans). Hakuna mpango wa muda mrefu wa kuiendeleza nchi utakaotekelezwa chini ya miaka kumi. Huo ndio ukweli wenyewe.

Ukiangalia historia ya mataifa yaliyoendelea haraka chini ya viongozi wao maarufu, utaona kwamba mafanikio ya nchi hizo hayakuletwa na viongozi waliobadilisha hizo nchi katika kipindi cha miaka kumi tu. Mifano mizuri ni Singapore, Malaysia na hata Rwanda. Singapore kwa mfano, kuna wakati fulani kiongozi wao alilalamikiwa, na hata kukasirikiwa kwa maamuzi magumu aliyofanya, lakini angalia alipoifikisha Singapore, toka taifa masikini sana. Ilimchukua miaka zaidi ya kumi kufanikisha hilo. Malaysia ni hivyo hivyo na Rwanda ndiko wanakoelekea.

Huwezi kuilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani, ambao tayari wana "established systems" ambazo hazihitaji raisi mzuri kukaa madarakani zaidi ya miaka nane. Na mie ni wa kwanza kukubali kwamba ukiweka utarataibu wa kutokuwa na kikomo cha uraisi kabla hujampata Raisi mzalendo kama Nyerere au Magufuli, hatari ni kwamba unaweza kumpa nafasi raisi fisadi au mbovu akaharibu sana nchi. Mifano ya nchi za namna hiyo ipo mingi imetuzunguka.

Lakini sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani. Yapo ambayo sikubaliani na Raisi Magufuli, na hata kumkasirikia mara nyingine. Lakini ni mengi zaidi ninayokubaliana naye, hasa katika kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji. Watanzania tulilala sana, tulifikia uozo mbaya sana. Niliwahi kuwaambia kuna mke wa raisi alimfokea kiongozi wa bandari kwa kukataa kuyatoa makontainer yake bila kuyalipia kodi. Aliitwa ikulu (na mke) na akaishia kuyatoa bila kupenda.

Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.

Naunga mkono hoja na hili na mimi pia niliwahi kulizungumzia na nikapendekeza tumpe angalau vipindi 4 vya miaka mitano mitano na kusiwe na uchaguzi wa rais ili kubana matumizi.

Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Nilisema hivi

Pascal
Mkome kabisa na haya mawazo yenu myameze.
Urais Tanzania ni awamu mbili-miaka 10 mwisho.
Hayo mambo ya kina Nkurunzinza, Kagame na Museveni yaacheni huko huko..
Hiyo aibu hatuitaki nchini mwetu.
Tunaowatu wengi wanaofaa kuongoza.
Miaka 10 ni mingi sana kwa mtu kufanya kazi zake bila mbwembwe wala show, au kujielekeza kusko mhusu.
 
Kama unadhani Magufuli ni tofauti sana na Kagame na Museveni, wewe just wait and see! . Watu tunaona mbali na ndio maana tunashauri hivyo.

Paskali
 
Huwa najitahidi kuongea ukweli, japo mara nyingine watu wananikasirikia. Nakumbuka mapema sana, kabla hata jina Bulldozer halijajulikana kitaifa na kimataifa, nilisema humu JF Magufuli ni mchapa kazi sana, lakini labda ningependelea awe na nafasi ya Waziri Mkuu badala ya Raisi, kwa sababu anafanya kazi kama bulldozer, nikimaanisha alihitaji mtu ambaye sio "impulsive" kumwongoza, kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine. Baadaye nilishangaa kuona jina Bulldozer limemnasa Magufuli.

Sasa nitawaambia jambo jingine. Tanzania tumegawanyika kwa sasa, pro na against Magufuli. Huko nyuma nilisema pia Tanzania ilikuwa imefikia pabaya sana na hivyo labda ilikuwa vema na wakati muafaka kupata kiongozi wa namna ya Magufuli, angalau kwa miaka kumi. Lakini sasa najua kwamba miaka kumi haitatosha. Najua hii ni kauli ya kuleta hasira, lakini ndio ukweli wenyewe.

Hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka alipoikuta Magufuli kwa kipindi cha miaka kumi tu. Na hatari ya miaka kumi ni kwamba raisi atakayefuata anaweza kuharibu mazuri yote yaliyofanywa, kwa sababu yale mazuri yanakuwa hayajaota mizizi sawasawa (established sustainable systems). Na hiyo ni ukweli wa-kishule (academic truth) kwamba ili nchi iendelee inahitaji mipango ya muda mrefu isimamiwe na mtu ambaye yuko committed kuisimamia (committed leadership to implement strategic national development plans). Hakuna mpango wa muda mrefu wa kuiendeleza nchi utakaotekelezwa chini ya miaka kumi. Huo ndio ukweli wenyewe.

Ukiangalia historia ya mataifa yaliyoendelea haraka chini ya viongozi wao maarufu, utaona kwamba mafanikio ya nchi hizo hayakuletwa na viongozi waliobadilisha hizo nchi katika kipindi cha miaka kumi tu. Mifano mizuri ni Singapore, Malaysia na hata Rwanda. Singapore kwa mfano, kuna wakati fulani kiongozi wao alilalamikiwa, na hata kukasirikiwa kwa maamuzi magumu aliyofanya, lakini angalia alipoifikisha Singapore, toka taifa masikini sana. Ilimchukua miaka zaidi ya kumi kufanikisha hilo. Malaysia ni hivyo hivyo na Rwanda ndiko wanakoelekea.

Huwezi kuilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani, ambao tayari wana "established systems" ambazo hazihitaji raisi mzuri kukaa madarakani zaidi ya miaka nane. Na mie ni wa kwanza kukubali kwamba ukiweka utarataibu wa kutokuwa na kikomo cha uraisi kabla hujampata Raisi mzalendo kama Nyerere au Magufuli, hatari ni kwamba unaweza kumpa nafasi raisi fisadi au mbovu akaharibu sana nchi. Mifano ya nchi za namna hiyo ipo mingi imetuzunguka.

Lakini sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani. Yapo ambayo sikubaliani na Raisi Magufuli, na hata kumkasirikia mara nyingine. Lakini ni mengi zaidi ninayokubaliana naye, hasa katika kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji. Watanzania tulilala sana, tulifikia uozo mbaya sana. Niliwahi kuwaambia kuna mke wa raisi alimfokea kiongozi wa bandari kwa kukataa kuyatoa makontainer yake bila kuyalipia kodi. Aliitwa ikulu (na mke) na akaishia kuyatoa bila kupenda.

Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.
Utakuwa umetoroka milembe wewe au umeandika haya sababu ya kuvuta babge ya malawi tena ukiwa choo cha city
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa makala ndefu
Lakini umetolea mfano way out of context
1. Singapore na Malysia huwezi kuziweka kwenye kundi moja la maendeleo hutajifunza kitu hapo, Singapore wako mbali hadi basi yaani
2. Singapore waliendelea kwa ku take advantage of their location, wali tengeneza bandari zao, viwanja vya ndege , walipunguza kodi na regulations za ajabu, wali ifumua elim yao na kuilenga kwenye kuvutia uwekezaji, wao walikuwa ni urban country toka kitambo lakin pia serikali ilipiga kazi kwenye kuwekeza.
2. Malaysia wao wana natural resources kama sisi bongo, halafu wao kidogo hata system zao za siasa ni ngum kidogo na kuna mchanganyiko wa watu mbali mbali so ku wamange ni shida, Malaysia wao wali anza kama Magufuli eti wanatoa rushwa, lakini wataalam wao waka waambia hakuna correlation kati ya rushwa na umaskini wao, walicho fanya ni kuwekeza kwenye madini na mafuta na kilimo, waka ifumua elimu yao na kuwekeza kwenye sayansi mfano kila mwaka wanafunzi wanao graduate vyuo vikuu asilimia 30% wana graduate mechanical engeneering, waka wekeza kwenye kujenga miundo mbinu mizuri kwa ajili ya uwekezaji, pia waka weka mazingira ya kuvutia wataalm wa nje kwenye nafasi za juu za makampuni yao. Japo Malaysia wanakua kwa kasi bado haija ingizwa kwenye kundi la developed countries.

*japo umejitahidi kumtetea Magufuli hakuna chochote anacho fanya kinacho endana na Malaysia, singapore ndio kabsaa. So sijajua case ya Rwanda labda wenzetu walifanya anacho fanya Magufuli. Lakini this man is failing moja kwa moja
Well said
 
Kwa hali ilivyo wazo hilo ni baya mleta mada, afadhali kama jamaa angekuwa Democrat , lakini kwa haya kuamka asubuhi katamka hivi na vile hapana jamani.

Vinginevyo hayo mawazo yanayochipuka yakipaliliwa na wabunge wetu hawa wa NDIYOOOOOOOO, basi tutaishi kama kuku wa kizungu
Tayar mkuu tupo km kuku wa kixungu
 
Hafai kuwa rais wala waziri mkuu, hata akipewa karne(Miaka 100) bado hataweza chochote kile. Anajenga jambo moja la maendeleo na hapo hapo anaharibu mambo matatu ya maendeleo.

Toka aingie madarakani wananchi wamezidi kutaabika, hakuna Pesa, hakuna Chakula, hakuna Uhuru, hakuna Ajira, hakuna Dawa.
Tumemchoka mapema sana.
2020 Apumzike mwenyewe.
 
Japo unamchukia, but it is unfair kucompare mtu amekaa miaka miwili madarakani unasema hakuna chochote anachofanya kinachoendana na nchi umezitaja and he's falling moja moja, kama wewe sio anaza hopeless hater, ni nani wewe.
Unaijua Singapore? Hebu acheni kujitoa akili sie saiz yetu Eritrea, Uganda,Sudani sio ile ya Bashir ,Kenya na Rwanda wala siwaweki wanajitambua wale,
 
Ashadondokea pua hafu huyu mtoa mada sijui kala maharage ya wapi eti tumwongezee muda.wakat nnji ishamshinda

Nilishasema, kuna watu hata uwaeleweshe kwa lugha za kikwao hawatakuelewa. Ndio maana kuna watu wanaishia la saba, form four, form six nk. Tunatofautiana uwezo wa kuelewa mambo. Angalau tukubaliane kwa hilo.
 
Utakuwa umetoroka milembe wewe au umeandika haya sababu ya kuvuta babge ya malawi tena ukiwa choo cha city

Jibu lako lipo hapa chini. Nina hakika 100% wewe na mimi tunatofautiana katika uwezo wa kuelewa mambo. Labda unanizidi sana tu. Na labda ninakuzidi sana tu.

Nilishasema, kuna watu hata uwaeleweshe kwa lugha za kikwao hawatakuelewa. Ndio maana kuna watu wanaishia la saba, form four, form six nk. Tunatofautiana uwezo wa kuelewa mambo. Angalau tukubaliane kwa hilo.
 
Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.
Mkuu umebadilisha gia angani?

Magufuli anajua asipovibana na kuzuia vyama vya upinzani kuwa na mikutano, hatapita 2020
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa makala ndefu
Lakini umetolea mfano way out of context
1. Singapore na Malysia huwezi kuziweka kwenye kundi moja la maendeleo hutajifunza kitu hapo, Singapore wako mbali hadi basi yaani
2. Singapore waliendelea kwa ku take advantage of their location, wali tengeneza bandari zao, viwanja vya ndege , walipunguza kodi na regulations za ajabu, wali ifumua elim yao na kuilenga kwenye kuvutia uwekezaji, wao walikuwa ni urban country toka kitambo lakin pia serikali ilipiga kazi kwenye kuwekeza.
2. Malaysia wao wana natural resources kama sisi bongo, halafu wao kidogo hata system zao za siasa ni ngum kidogo na kuna mchanganyiko wa watu mbali mbali so ku wamange ni shida, Malaysia wao wali anza kama Magufuli eti wanatoa rushwa, lakini wataalam wao waka waambia hakuna correlation kati ya rushwa na umaskini wao, walicho fanya ni kuwekeza kwenye madini na mafuta na kilimo, waka ifumua elimu yao na kuwekeza kwenye sayansi mfano kila mwaka wanafunzi wanao graduate vyuo vikuu asilimia 30% wana graduate mechanical engeneering, waka wekeza kwenye kujenga miundo mbinu mizuri kwa ajili ya uwekezaji, pia waka weka mazingira ya kuvutia wataalm wa nje kwenye nafasi za juu za makampuni yao. Japo Malaysia wanakua kwa kasi bado haija ingizwa kwenye kundi la developed countries.

*japo umejitahidi kumtetea Magufuli hakuna chochote anacho fanya kinacho endana na Malaysia, singapore ndio kabsaa. So sijajua case ya Rwanda labda wenzetu walifanya anacho fanya Magufuli. Lakini this man is failing moja kwa moja
We ni mwehu kweli,unaendekeza uchama tu hata uhalisia unajifanya huuoni,kuskia huskii hata picha huoni?
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Back
Top Bottom