Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

Baada ya miaka kumi ya uongozi huu. Tanzania tunaweza kuwa tumefutika kwenye ramani ya dunia
 
Nakubaliana nawe kwenye hoja yako ila napinga wazo LA vyama vya upinzani kuungana na Ccm ,,
Kumbuka bila upinza hayo yote ccm waangekuja kubadilika kamwe.
Namuunga mkono magufuli na hata ikibidi tubadili katiba tumwongeze muda lakin siipend ccm hadi nakufa .
Magufuli aruhusu siasa ziendele ili akosolewe mambo yaende mbele. Over!!
 
Mkuu, ukiwa na Raisi kama Magufuli, huhitaji vyama vya upinzani wawabadilishe CCM au wawakumbushe majukumu yao!
 
Kwakuwa na Mkatoliki Safi... mpeni miaka 20 ya kutawala ...

Nchii hii bwana shida sana. Tukiwa na Raisi Mkatoliki taabu, tukiwa na Raisi Muislamu taabu; nichagueni mie basi ambaye sitaki ukristo wala uislamu wenu.
 
Mkuu, alikuwa akiongelea mabadiliko ya Katiba yaliyoanza kipindi cha JK. Sio kwa hili suala. Na nisingependa kuona suala na utawala wa raisi usio na kikomo liwe jambo la kudumu katika katiba, ndio maana nikasema kwa Magufuli linapaswa liwe jambo maalum la muda kutupeleka katika milestone fulani.
Kwako Magufuli unaona anafaa lakini kwa wengine hafai.

Nadhani tueshimu katiba kama muongozo wetu. Urais usio na kikomo ni ulafi na uroho wa madaraka na mwisho wa siku utaanguka kwenye udikteta tu.
 
Mkuu, ukiwa na Raisi kama Magufuli, huhitaji vyama vya upinzani wawabadilishe CCM au wawakumbushe majukumu yao!
Namkubali sana ila kumbuka nae ni binadamu na ana mapungufu ili kuutimiza ubinadamu.
Mkuu upinzan ni muhimu sana ili kuchangamsha gvt ( ili tupate efficiency) competition must be there. Kumbuka ccm wenyewe hawampend jamaa maana kawazibia , ndo maana nimesema siipend ccm maana nao walijua watapeta kwene mambo yao wakakuta sio
 
Ahaa, nadhani sasa nimekuelewa na utanielewa. Anachofanya Magufuli hapa ni zaidi ya Ilani ya CCM ya uchaguzi. Katika utawala wa Mwinyi, Mkapa na JK, tulikuwa na Ilani za CCM, lakini zilitufikisha wapi? Ziliondoa uzembe na ufisadi nchini? Ziliweka mifumo yenye kusaidia nchi hii? Zilitufanya tufaidike na rasilimali zetu? Sasa haya maswali yanalenga kile anachojaribu kufanya Magufuli kwa sasa, ambacho ni zaidi sana ya Ilaani cha uchaguzi ambazo si lololote si chochote bali maneno ya biashara tu.

Labda pengine tunaweza kusema sawa, Ilani hizo ni muhimu, lakini tulichoona ilani bila "catalyst" inayofaa hazina faida yeyote. Basi Magufuli kawa hiyo "catalyst".

Na unaposema atakayempokea ataendeleza hiyo "Ilani". Unajuaje kama huyo atakayempokea na yeye atakuwa "catalyst" inayofaa? Na je, unasahau kwamba inawezekana kabisa atakaempokea akawa toka chama cha upinzani, ambapo hata hiyo Ilani iwe nzuri kiasi gani anaweza kuitupilia mbali ili aje na "Ilani" ya chama chake ambayo itaturudisha mwanzo tena na huenda kuharibu kila kitu alichofanya Magufuli kwa kuwa bado hakijaota mizizi thabiti? Angalia kule USA, Trump wa Republicans, anasema atafumua kila sera iliyowekwa na Obama wa Democrats. Hivi kweli unakubali kila lililowekwa na Obama lilikuwa baya?

Ndio maana nikasema, ili ku- minimize risks of leadership change na kuweka Tanzania mbele badala ya siasa, kwa kuwa sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani katika utendaji kama Raisi, ni bora tuijengee Tanzania misingi imara ambayo itafanya tusiwe tena na tatizo la kuwa na vipindi vya uraisi vya miaka kumi au nane hapo baadaye. Hata kama ikibidi akae miaka ishirini, au kuwaambia upinzani watafute namna ya kuungana na CCM kwa sasa hadi ttakapokuwa tumejenga mifumo dhabiti ya kiutawala na maendeleo ya nchi, kutia ndani uwajibikaji, nidhamu ya kazi na kuua ufisadi. Katika haya tumeona wazi Magufuli yuko serious.
Hapo sasa ndipo linakuja swala la uzalendo na Nia ya kuwatumikia wananchi, Kinachotakiwa ni uzalendo kwa Taifa ili kila mtu atakayepata nafasi ya kutuongoza basi awe na mpango dhabiti kwa Taifa lake tukisema tumtumie Magufuri kwa kila awamu bado siyo dawa tujifunze kwa wenzetu walivuka vipi, na wao walipata mtu kama magufuri akatawala kwa kipindi kirefu ndiyo inchi zao zikapata maendeleo?
Sawa ata tukisema tufute chaguzi maana sasa tumepata tuliyemtaka je tunajua Mungu ana mpango gani naye?
Kaka kikubwa ni kumuomba tu Mungu na sisi watanzania kuwa na msimamo na uzalendo kwa Taifa letu ili tukipata mtu ambaye hawezi kutusogeza mbele basi sote tumkatae kwa pamoja kwamba hatufahi.

Kumbuka Magufuri pia ni binadam kama sisi, Ana mazuri yake na mabaya yake usifikili wakati wote atafanya mema,
KUMBUKA: Nyerere hakuwa mjinga kukubali kuachia Ngazi.
 
Kwako Magufuli unaona anafaa lakini kwa wengine hafai.

Nadhani tueshimu katiba kama muongozo wetu. Urais usio na kikomo ni ulafi na uroho wa madaraka na mwisho wa siku utaanguka kwenye udikteta tu.

Bado hujaelewa somo. Anza tena kusoma posts zangu zote toka mwanzo. Issue hapa sio madaraka. Muongozo ni wetu kwa maslahi yetu, na unaweza kubadilishwa kwa maslahi yetu.

Uingereza, Ujerumani, Denmark, Norway nk hawana kikomo cha uongozi. Ina maana wana uchu wa madaraka kuliko sisi au Marekani?
 
utanielewa vizuri nnachosema pindi Magufuli akiondoka madarani.

kwenye i
I hear you Mkuu, lakini huenda hiyo staili ya Magufuli ndio inayohitajika kwa sasa, ikiwa ni sehemu ya kujenga nidhamu, uwajibikaji na kumaliza ufisadi. Umefikiria juu ya hilo? Suala la kujiuliza ni kwamba, je katika yote anayofanya, hata yale tunayoona kuwa mabaya, lengo lake ni nini? Kujinufaisha yeye binafsi na kikundi fulani cha watu, au ni kwa ajili ya faida yetu na Tanzania kama nchi? We have to see further than the end of our noses katika kila Magufuli analofanya au kusema. Mfano hapo juu, watu wanasema alinunua ndege badala ya dawa; je kwa nini? Alitumia fedha za dawa kununua ndege? Alinunua ndege ya raisi? Au alifanya sacrifice kidogo ya muda mfupi kwa lengo la kujipa uwezo mkubwa na wa muda mrefu wa kununua dawa baadaye?

Mara ngapi sisi binafsi tuna sacrifice vitu ili kufanikisha lengo fulani kutia ndani kuwa na nyumba, kusoma chuo nk? Mara nyingine hata mama zetu wazazi hatuwatumii hela ili kufanikisha lengo fulani. Basi tuhukumiwe kama tunavyomhukumu Magufuli juu ya ndege kwa kukosa dawa kwa miezi miwili sijui? Na kweli tulikosa dawa kabisa?
Bado hujaelewa somo. Anza tena kusoma posts zangu zote toka mwanzo. Issue hapa sio madaraka. Muongozo ni wetu kwa maslahi yetu, na unaweza kubadilishwa kwa maslahi yetu.

Uingereza, Ujerumani, Denmark, Norway nk hawana kikomo cha uongozi. Ina maana wana uchu wa madaraka kuliko sisi au Marekani?

Hivi mkuu unajua kwamba Magu ni MDINI na MKABILA?????

Achilia mbali mazuri aliyotenda. Sasa kuna watu wanamchukia kwa hayo. Madhara ya UDINI tunayaona kule NIGERIA. Ukabila tumeyaona kule RWANDA na KENYA. Nani anaeyataka haya kutokea hapa Tanzania.

Hizo nchi ulizotaja ni tofauti kabisa na za Afrika katka kujielewa kwa wananchi wake, elimu na maendeleo kwa ujumla.

Afrika wenye njaa ni wengi akiwemo rais mwenyewe. Ni rahisi kufuja mali za uma kwa kuingiwa na tamaa. Chukulia mfano wa Mkapa alivotoka madarakani alikuwa na ukwasi kiasi gani

Nyerere hakukosea kufanya kipindi cha urais kisizidi miaka 10 kwenye katiba yetu. Tueshimu katiba tu mkuu. Hakuna cha maridhiano hapa.
 
Umerudia kosa
Watu wengi huwa mna taka ku i praise singapore kama ilikuwa maskini kishenzi yaani. Ni kweli kuwa LKY alifanya kaz nzuri lakin siyo ki hivo.
GDP ya Singapore ilikuwa ni $2669
Kwa kipindi hiko Singapore ilipitwa na Japan na Hong Kong tuu, tayari waingereza na wajapan walikuwa washa wekeza pakubwa so
though haikuwa sawa na US au UK, Singapore was still an Urban Country, yaani usituweke sawa nao walipo anzia. Labda kidogo at the time wanakuwa expelled na Malaysia walikuwa wameshuka but with all importance and advantage they surged alot Hata kama ukiwa una soma Case study huwezi kuiweka Singapore kundi moja na Malaysia au Tanzania kipindi walipo kiwa maskini.

Magufuli is doing the best in what!!? Ujue kila nikifunua vitabu sioni kaiga kwa kesi study ya nani, na nchi ilikuwa imeoza ila ana kosea focus, anasema rushwa badala ya kusema umasikini angejisemea anataka kutoa umaskini angepata focus kubwa sana ya ku deal nayo, these petty things anazo zifanya hazijawahi duniani kote kuinua uchumi wa nchi.
Nenda angalia ratiba za Bunge mwaka huu wata deal vipi na sheria za madini, ardhi na uwekezaji. Jibu utakuta hakuna kitu.
wakati Malaysia hawaja piga hatua sana wali jisemea nchi imeoza hivo hivo baadaye waka gundua, rushwa si chanzo cha umaskini ila ni kiashiria cha umaskini waka amua kubadilika na wali focus kwenye uwekezaji, elimu na teknolojia.
Magufuli anavyo fanya ana diacourage vyote hivo. Anaua hata sekta za kawaida kama utalii utasemaje anafanya kama Singapore?
Kilicho fanyika Malaysia na Singapore sio uongozi kukaa miaka mingi ni uongozi wenye maono kukaa miaka mingi. Uongozi wa magufuli hauna maono wala mipango huhitaji miaka 10 kujua hilo.

Soma kijitabu hiki kitakusaidia kuelewa zaidi "How Asia Works: Success and Failure in the World's Most Dynamic Region" kimeandikwa na Joe Studwell (2013) utaona jinsi mnavo linganisha mbingu na ardhi
 
Umerudia kosa
Watu wengi huwa mna taka ku i praise singapore kama ilikuwa maskini kishenzi yaani. Ni kweli kuwa LKY alifanya kaz nzuri lakin siyo ki hivo.
GDP ya Singapore ilikuwa ni $2669
Kwa kipindi hiko Singapore ilipitwa na Japan na Hong Kong tuu, tayari waingereza na wajapan walikuwa washa wekeza pakubwa so though haikuwa sawa na US au UK, Singapore was still an Urban Country, yaani usituweke sawa nao walipo anzia. Labda kidogo at the time wanakuwa expelled na Malaysia walikuwa wameshuka but with all importance and advantage they surged alot Hata kama ukiwa una soma Case study huwezi kuiweka Singapore kundi moja na Malaysia au Tanzania kipindi walipo kiwa maskini.

Si kweli Mkuu. Singapore walijitenga na Malaysia wakiwa hawana kitu kabisa, na GDP evolution yao ni kkama ilivyo hapa chini;

  • In 1965, Singapore’s nominal GDP per capita was around US$500.
  • In 1990, GDP per capita had risen to about US$13,000, surpassing South Korea, Israel, and Portugal.
  • In 2015, GDP per capita was about US$56,000. We had caught up with Germany and the United States.
Wao walichofanya ni kuendeleza viwanda vidogo vidogo sana na kuvutia wawekezaji na ku-invest kwenye elimu, wakiwa very strict kwenye governance na leadership. The rest is history!

Soma historia ya ukuzi wao wa uchumi hapa chini

1965-1984: Export-led industrialisation through multinationals

In 1965, when Singapore left the Federation of Malaysia, few expected it to survive let alone prosper. Singapore’s first Prime Minister, Mr Lee Kuan Yew, had said in 1957 that the idea of an independent Singapore was a “political, economic, and geographical absurdity”. It is not hard to see why.

  • An island of 580 squares kilometres at low tide, Singapore in 1965 had no natural resources, no hinterland, no industry.
  • It depended on the outside world not just for food and energy, but even water.
  • Industrial strife was common. Unemployment was close to 9%.
Singapore’s birth pangs were traumatic.

  • Separation from Malaysia meant the loss of not just a common market but a hinterland.
  • Indonesia’s Confrontasi cut off Singapore’s southern hinterland, further undermining the fledgling nation’s traditional role as an entrepot trading post for the region.
  • In 1968, the British government announced a withdrawal of its troops from Singapore, which left thousands of workers without a job and as much as a fifth of the economy at risk of coming to a halt.
Surviving as a nation and creating a better life for the people were thus the over-riding priorities. And economic growth was seen as the principal means to help achieve this.

The government made two strategic decisions – both sharply at odds with the conventional economic wisdom of the time.

  • The first was to shift away from import-substitution in favour of export-led industrialisation.
  • The second was to attract global multinational corporations as vehicles to achieve industrial growth.
These two decisions proved to be among the most important in our economic history. Promoting exports and promoting foreign direct investments at a time when few other countries were doing the same gave Singapore a decisive advantage.

But it was an advantage that Singapore had to work hard to realise.

  • The government developed industrial land, put in place infrastructure facilities, reformed labour laws to promote industrial peace, and invested in basic education with emphasis on technical skills relevant to industrialisation.
  • Sound fiscal and monetary policies ensured macroeconomic stability and underpinned investor confidence.
The two strategies paid off handsomely.

  • By 1975, Singapore had established a substantial industrial base, with manufacturing’s share in GDP climbing to 22% from 14% in 1965.
  • The economy was at full employment and it was clear that Singapore had to move up the value chain towards more capital-intensive and skill-intensive activities.
The compositional change within manufacturing was striking.

  • Industrialisation began in the 1960s with factories producing items such as matches, fish hooks and mosquito coils.
    • By the way, for those unfamiliar, mosquitoes used to spread life-threatening diseases in the tropics in those days until the disease-causing ones were eradicated in 2033 by genetic modification.
  • In any case, these labour-intensive industries saw a steady decline through the 1970s.
By the late 1970s and early 1980s, we saw the emergence of strong clusters in higher value-added electronics, petrochemicals, component and precision engineering.

  • In the 1980s, Singapore became the world’s leading producer of hard disk drives – an early form of memory storage used in computers at the time.
The first two decades of Singapore’s economic history could be described as the “take-off” phase. It was the period when the economic fundamentals of prudent public finances, sound monetary policies, co-operative industrial relations, outward orientation, and market-based strategies took root. The economy grew by an average of about 10% each year during this period, and Singapore emerged as a newly-industrialised economy at the forefront of developing countries.

1985-2010: Liberalisation and the rise of modern services

In 1985, the Singapore economy went into recession - the only time in our history the domestic economy contracted while the global economy was still growing. The 1985 recession exposed structural strains in the economy, which had hitherto been masked by strong economic growth.

  • As the earlier phase of “catch-up” growth came to an end, resource constraints and diminishing returns to investment began to set in.
  • The cost advantage that Singapore enjoyed began to narrow.
The 1985 recession was a significant milestone in Singapore’s development history. It led to a fundamental review of the policies and strategies that prevailed at the time. The most important outcomes from that period of review which continued into the 1990s were the structural reforms to:

  • enhance wage flexibility in the labour market;
  • tap more decisively into regional markets for trade and outward investment;
  • step up the pace of industrial upgrading;
  • promote innovation, enterprise, and entrepreneurship in the economy; and
  • liberalise various services sectors such as finance, telecommunications, and utilities.
In fact, the key story post-1985 recession up till the Global Financial Crisis of 2008 was the rise of modern services as a twin engine of growth alongside manufacturing.

  • The share of modern services in GDP increased steadily, from 16% in 1965 to 24% in 1985 and 28% in 2010.
 
In 1965, Singapore's GDP per capita was $2,667 (in 1990 dollars).
This put Singapore at a higher GDP per capita than every East and South Asian country, with the exceptions of Japan ($5,934) and Hong Kong ($4,825).
For comparison, countries whose
2010 GDP per capita were slightly lower than Singapore's in 1965 ($2,667) are: Cambodia ($2,450), Pakistan ($2,494), and Mozambique ($2,613). Countries whose 2010 GDP per capita were slightly higher are: Kyrgyzstan ($2,947), the Philippines ($3,024), and Bolivia ($3,064).
For further comparison, in 1965, Singapore's GDP per capita was also comparable to some Latin American and East European countries: Brazil ($2,448), Colombia ($2,689), Costa Rica ($3,127), Romania ($2,386), Yugoslavia ($3,125).
One might thus conclude that while 1965 Singapore was poor by today's standards, it was already significantly better off than most of its Asian neighbors.
*********************************

Halafu hata uliyo ya orodhesha hayo yote Magufuli hajayafanya
So bado skuelewi unamlinganisha vipi yeye na LKY .
Unaniskitisha
 
Sina hakika, ila nahisi umetumwa kuja kupima upepo maana kama katiba ishasiginwa vya kutosha.
 
Back
Top Bottom