Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

Kikwazo cha mabadiliko na maendelea ya nchi ni mfumo wa CCM Magufuli hata atawale nchi zaidi ya miaka 200 bila kuiweka CCM pembeni hakuna mabadiliko yoyote ambayo anaweza akayafanya zaidi ya kuwaonea mbuzi wasio kuwa na mtetezi na kuwalinda mapapa ambao wanalindwa na mfumo mbovu wa CCM na katiba mbovu ambayo CCM hawawezi wakakubali ibadilishwe.
 
Najua tayari mlishapangwa watu wa kueneza hii propaganda ili ishike. Kama ww ndiye uliyeona Tanzania nzima kiongozi anayefaa ni mmoja tu na ni huyo kati ya watu million 50, huo ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri, na upeo wako. Kwa maana hiyo akili zako ndiyo zimegota hapo na huwezi fikiri mbele zaidi. Sorry bahati mbaya sana katiba haimruhusu na ni jambo ambalo haliwezekani hata kama mkijipanga vipi. Hiyo ni ndoto ya alinacha.
 
Kuna watu vijaza kweli, we don't need more 5 years of this free fall no gravity. We need katiba bora, we need only good katiba.

Naona umetumwa wewe. Pumbav kabisa.
 
Nilishasema, kuna watu hata uwaeleweshe kwa lugha za kikwao hawatakuelewa. Ndio maana kuna watu wanaishia la saba, form four, form six nk. Tunatofautiana uwezo wa kuelewa mambo. Angalau tukubaliane kwa hilo.
Hivyo vidato ulivyotaja vinamsai
dia nn mtu.toka lini elimu ikamwongezea mtu AKILI??
 
Huwa najitahidi kuongea ukweli, japo mara nyingine watu wananikasirikia. Nakumbuka mapema sana, kabla hata jina Bulldozer halijajulikana kitaifa na kimataifa, nilisema humu JF Magufuli ni mchapa kazi sana, lakini labda ningependelea awe na nafasi ya Waziri Mkuu badala ya Raisi, kwa sababu anafanya kazi kama bulldozer, nikimaanisha alihitaji mtu ambaye sio "impulsive" kumwongoza, kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine. Baadaye nilishangaa kuona jina Bulldozer limemnasa Magufuli.

Sasa nitawaambia jambo jingine. Tanzania tumegawanyika kwa sasa, pro na against Magufuli. Huko nyuma nilisema pia Tanzania ilikuwa imefikia pabaya sana na hivyo labda ilikuwa vema na wakati muafaka kupata kiongozi wa namna ya Magufuli, angalau kwa miaka kumi. Lakini sasa najua kwamba miaka kumi haitatosha. Najua hii ni kauli ya kuleta hasira, lakini ndio ukweli wenyewe.

Hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka alipoikuta Magufuli kwa kipindi cha miaka kumi tu. Na hatari ya miaka kumi ni kwamba raisi atakayefuata anaweza kuharibu mazuri yote yaliyofanywa, kwa sababu yale mazuri yanakuwa hayajaota mizizi sawasawa (established sustainable systems). Na hiyo ni ukweli wa-kishule (academic truth) kwamba ili nchi iendelee inahitaji mipango ya muda mrefu isimamiwe na mtu ambaye yuko committed kuisimamia (committed leadership to implement strategic national development plans). Hakuna mpango wa muda mrefu wa kuiendeleza nchi utakaotekelezwa chini ya miaka kumi. Huo ndio ukweli wenyewe.

Ukiangalia historia ya mataifa yaliyoendelea haraka chini ya viongozi wao maarufu, utaona kwamba mafanikio ya nchi hizo hayakuletwa na viongozi waliobadilisha hizo nchi katika kipindi cha miaka kumi tu. Mifano mizuri ni Singapore, Malaysia na hata Rwanda. Singapore kwa mfano, kuna wakati fulani kiongozi wao alilalamikiwa, na hata kukasirikiwa kwa maamuzi magumu aliyofanya, lakini angalia alipoifikisha Singapore, toka taifa masikini sana. Ilimchukua miaka zaidi ya kumi kufanikisha hilo. Malaysia ni hivyo hivyo na Rwanda ndiko wanakoelekea.

Huwezi kuilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani, ambao tayari wana "established systems" ambazo hazihitaji raisi mzuri kukaa madarakani zaidi ya miaka nane. Na mie ni wa kwanza kukubali kwamba ukiweka utarataibu wa kutokuwa na kikomo cha uraisi kabla hujampata Raisi mzalendo kama Nyerere au Magufuli, hatari ni kwamba unaweza kumpa nafasi raisi fisadi au mbovu akaharibu sana nchi. Mifano ya nchi za namna hiyo ipo mingi imetuzunguka.

Lakini sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani. Yapo ambayo sikubaliani na Raisi Magufuli, na hata kumkasirikia mara nyingine. Lakini ni mengi zaidi ninayokubaliana naye, hasa katika kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji. Watanzania tulilala sana, tulifikia uozo mbaya sana. Niliwahi kuwaambia kuna mke wa raisi alimfokea kiongozi wa bandari kwa kukataa kuyatoa makontainer yake bila kuyalipia kodi. Aliitwa ikulu (na mke) na akaishia kuyatoa bila kupenda.

Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.
Unaposema ni lazima umesha wasiliana na Mungu ana mpango nae siku gani??
Ajuae kesho ya mtu ni Mungu pekee. Usitumie neno lazima, sema Mungu akipenda...
 
Kakurupuka huyu Mkuu.

We don't need one man show or a strong man, we need strong government systems. Miaka 5 au 10 inatosha sana kuweka system imara. Bahati mbaya naona hata hizo system dhaifu zilizokuwepo kama zinazidi kuwa mfu. Sasa sijui ni indicators gani unazotumia kutoa miaka zaidi ya 10.
 
Kubadiri mfumo itachukua muda mfupi zaidi na itakuwa ni sustainable, huwezi kutegemea mtu kubadiri nchi....
 
Atakuwa wa kijiji kwenu..
Patachimbika hapa kama somalia
 
Huwa najitahidi kuongea ukweli, japo mara nyingine watu wananikasirikia. Nakumbuka mapema sana, kabla hata jina Bulldozer halijajulikana kitaifa na kimataifa, nilisema humu JF Magufuli ni mchapa kazi sana, lakini labda ningependelea awe na nafasi ya Waziri Mkuu badala ya Raisi, kwa sababu anafanya kazi kama bulldozer, nikimaanisha alihitaji mtu ambaye sio "impulsive" kumwongoza, kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine. Baadaye nilishangaa kuona jina Bulldozer limemnasa Magufuli.

Sasa nitawaambia jambo jingine. Tanzania tumegawanyika kwa sasa, pro na against Magufuli. Huko nyuma nilisema pia Tanzania ilikuwa imefikia pabaya sana na hivyo labda ilikuwa vema na wakati muafaka kupata kiongozi wa namna ya Magufuli, angalau kwa miaka kumi. Lakini sasa najua kwamba miaka kumi haitatosha. Najua hii ni kauli ya kuleta hasira, lakini ndio ukweli wenyewe.

Hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka alipoikuta Magufuli kwa kipindi cha miaka kumi tu. Na hatari ya miaka kumi ni kwamba raisi atakayefuata anaweza kuharibu mazuri yote yaliyofanywa, kwa sababu yale mazuri yanakuwa hayajaota mizizi sawasawa (established sustainable systems). Na hiyo ni ukweli wa-kishule (academic truth) kwamba ili nchi iendelee inahitaji mipango ya muda mrefu isimamiwe na mtu ambaye yuko committed kuisimamia (committed leadership to implement strategic national development plans). Hakuna mpango wa muda mrefu wa kuiendeleza nchi utakaotekelezwa chini ya miaka kumi. Huo ndio ukweli wenyewe.

Ukiangalia historia ya mataifa yaliyoendelea haraka chini ya viongozi wao maarufu, utaona kwamba mafanikio ya nchi hizo hayakuletwa na viongozi waliobadilisha hizo nchi katika kipindi cha miaka kumi tu. Mifano mizuri ni Singapore, Malaysia na hata Rwanda. Singapore kwa mfano, kuna wakati fulani kiongozi wao alilalamikiwa, na hata kukasirikiwa kwa maamuzi magumu aliyofanya, lakini angalia alipoifikisha Singapore, toka taifa masikini sana. Ilimchukua miaka zaidi ya kumi kufanikisha hilo. Malaysia ni hivyo hivyo na Rwanda ndiko wanakoelekea.

Huwezi kuilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani, ambao tayari wana "established systems" ambazo hazihitaji raisi mzuri kukaa madarakani zaidi ya miaka nane. Na mie ni wa kwanza kukubali kwamba ukiweka utarataibu wa kutokuwa na kikomo cha uraisi kabla hujampata Raisi mzalendo kama Nyerere au Magufuli, hatari ni kwamba unaweza kumpa nafasi raisi fisadi au mbovu akaharibu sana nchi. Mifano ya nchi za namna hiyo ipo mingi imetuzunguka.

Lakini sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani. Yapo ambayo sikubaliani na Raisi Magufuli, na hata kumkasirikia mara nyingine. Lakini ni mengi zaidi ninayokubaliana naye, hasa katika kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji. Watanzania tulilala sana, tulifikia uozo mbaya sana. Niliwahi kuwaambia kuna mke wa raisi alimfokea kiongozi wa bandari kwa kukataa kuyatoa makontainer yake bila kuyalipia kodi. Aliitwa ikulu (na mke) na akaishia kuyatoa bila kupenda.

Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.
Kwa jinsi hali ilivyo, hata Rais akiwa wa milele hayo mabadiliko yanayohubiriwa hayatatokea maana kila mtendaji anasubiria kusikia kauli ya Rais. Akitamka tu, wanaenda kubadilisha sera na kanuni ili ziendane na tamko lake. Hapo systems zitakuwa established lini? Matokeo yake hata akikaa miaka 27 akazeeka au kufariki, hapatakuwa na lolote la kudumu lililofanyika. Kama kutakuwa na maendeleo yamefikiwa katika kipindi hicho yataporomoka haraka maana hadi sasa ni one-man show na sioni dalili ya mabadiliko.
 
Tanzania haitabadilishwa na mtu mmoja.

Tanzania itabadilishwa na Watanzania.

Taifa la watu zaidi ya milioni hamsini kumuangalia mtu mmoja kama masiha ni ujinga.
 
tatizo la rais wetu anataka sifa mwenyewe hataki kuweka mfumo ambao utainyoosha nchi hii hata kama akiondoka madarani.

Misifa , misifa, misifa
Hilo ndilo tatizo. Anataka kila wakati jambo likifanyika sifa na utukufu apewe yeye aketiye ikulu. Kwa mentality ya namna hiyo, hawezi ku-strengthern systems maana systems zikiwa strong, most of the leaders katika ngazi zote watafanikisha mambo mazuri na yenye impact kubwa kwa maendeleo ta taifa na ustawi wa wananchi. Sasa hapo utukufu wa kiti chake utapungua na sina hakika kama anao mpango huo. Yeye anapenda kila akisimama aweze kusema "mimi nimejitolea hata kama ni kufa nife tu kwa ajili ya watanzania wanyonge/maskini"... sasa kama hata mimi mtendaji wa kata huku kwetu nikiwa nasifiwa na watu wangu kwa "mambo makubwa" nitakayokuwa nimefanya, sifa za "watu wangu" yeye si atazikosa?

Thubutu! Hiyo kitu hafanyi.
 
Akili mdogo hutegemea utashi wa mtu katika kutawala badala ya kutegemea mifumo, JPM kweli naweza akawa vizuri lakini hata atawale miaka 20 bila kutuachia mifumo ya kutawala ni sifuri, na historia haitamkumbuka
 
Huwa najitahidi kuongea ukweli, japo mara nyingine watu wananikasirikia. Nakumbuka mapema sana, kabla hata jina Bulldozer halijajulikana kitaifa na kimataifa, nilisema humu JF Magufuli ni mchapa kazi sana, lakini labda ningependelea awe na nafasi ya Waziri Mkuu badala ya Raisi, kwa sababu anafanya kazi kama bulldozer, nikimaanisha alihitaji mtu ambaye sio "impulsive" kumwongoza, kama ilivyokuwa kwa Nyerere na Sokoine. Baadaye nilishangaa kuona jina Bulldozer limemnasa Magufuli.

Sasa nitawaambia jambo jingine. Tanzania tumegawanyika kwa sasa, pro na against Magufuli. Huko nyuma nilisema pia Tanzania ilikuwa imefikia pabaya sana na hivyo labda ilikuwa vema na wakati muafaka kupata kiongozi wa namna ya Magufuli, angalau kwa miaka kumi. Lakini sasa najua kwamba miaka kumi haitatosha. Najua hii ni kauli ya kuleta hasira, lakini ndio ukweli wenyewe.

Hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka alipoikuta Magufuli kwa kipindi cha miaka kumi tu. Na hatari ya miaka kumi ni kwamba raisi atakayefuata anaweza kuharibu mazuri yote yaliyofanywa, kwa sababu yale mazuri yanakuwa hayajaota mizizi sawasawa (established sustainable systems). Na hiyo ni ukweli wa-kishule (academic truth) kwamba ili nchi iendelee inahitaji mipango ya muda mrefu isimamiwe na mtu ambaye yuko committed kuisimamia (committed leadership to implement strategic national development plans). Hakuna mpango wa muda mrefu wa kuiendeleza nchi utakaotekelezwa chini ya miaka kumi. Huo ndio ukweli wenyewe.

Ukiangalia historia ya mataifa yaliyoendelea haraka chini ya viongozi wao maarufu, utaona kwamba mafanikio ya nchi hizo hayakuletwa na viongozi waliobadilisha hizo nchi katika kipindi cha miaka kumi tu. Mifano mizuri ni Singapore, Malaysia na hata Rwanda. Singapore kwa mfano, kuna wakati fulani kiongozi wao alilalamikiwa, na hata kukasirikiwa kwa maamuzi magumu aliyofanya, lakini angalia alipoifikisha Singapore, toka taifa masikini sana. Ilimchukua miaka zaidi ya kumi kufanikisha hilo. Malaysia ni hivyo hivyo na Rwanda ndiko wanakoelekea.

Huwezi kuilinganisha Tanzania na nchi kama Marekani, ambao tayari wana "established systems" ambazo hazihitaji raisi mzuri kukaa madarakani zaidi ya miaka nane. Na mie ni wa kwanza kukubali kwamba ukiweka utarataibu wa kutokuwa na kikomo cha uraisi kabla hujampata Raisi mzalendo kama Nyerere au Magufuli, hatari ni kwamba unaweza kumpa nafasi raisi fisadi au mbovu akaharibu sana nchi. Mifano ya nchi za namna hiyo ipo mingi imetuzunguka.

Lakini sasa tunajua Magufuli ni mtu wa namna gani. Yapo ambayo sikubaliani na Raisi Magufuli, na hata kumkasirikia mara nyingine. Lakini ni mengi zaidi ninayokubaliana naye, hasa katika kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji. Watanzania tulilala sana, tulifikia uozo mbaya sana. Niliwahi kuwaambia kuna mke wa raisi alimfokea kiongozi wa bandari kwa kukataa kuyatoa makontainer yake bila kuyalipia kodi. Aliitwa ikulu (na mke) na akaishia kuyatoa bila kupenda.

Na ukweli unabakia, kwamba, kama kweli Tanzania tunahitaji mabadiliko ya kutumia rasilimali zetu tuwe kama Singapore au Malaysia, basi mtu kama Magufuli anahitaji kuwa madarakani kwa zaidi ya miaka kumi. Najua hii ni lugha Watanzania wengi, na hasa vyama vya upinzani, hawawezi kuifurahia, lakini huo ndio ukweli. Baada ya hiyo miaka labda ishirini ya Magufuli, basi tunaweza kurudi tena kwenye uraisi wa kipindi cha miaka kumi au hata nane. Tutakuwa tayari tuna "established system" huenda hata kwa kiwango cha Singapore. Kama ikibidi vyama vya upinzani kuungana na CCM kwa sasa ili kufanikisha hilo basi na iwe hivyo.
Sasa ni vyema ukarejea kwenye thread yako ya huko nyuma Tanzania sasa ni kujichukulia sheria mkononi kuanzia Rais hadi wananchi?

Je bado una msimamo ule ule au umebadilika. Miaka zaidi ya kumi siyo mchezo. Sikuwa alivyoanza leo ataweza kumaintain for the next 10 years. Ideas na uwezo hubadilika kutokana na circumstances zilizopo!! Ila inawezekana kabisa ili kuachieve mipango yake hii ndiyo kaiona ni route muafaka!!
 
Huwezi kuendeleza nchi pekee yako na Chama chako, mfumo gani ameanza kuujenga!
 
Hapa pana hoja ya msingi na hili pia ndiyo amejaribu kulizungumza mstaafu,mzee alhaji ally hassan mwinyi,hila wanasiasa wengi wamekwisha mpinga!Hila kwa hatua anazochukua mhe.JPM hasa kwenye kudhibiti ubadhirifu,kulinda rasilimali za taifa dhidi ya wanyonyaji tuliowapa kwa mikataba kandamizi na KUNYOOSHA Nchi(kukabiliana na ufisadi na kuleta nidhamu ya uwajibikaji) kwa ujumla....ipo hapa ya watanzania kulitazama hili(hakuna Raisi duniani anaweza kuibadilisha nchi toka ktk halimbaya kama Magufuli alipoikuta Tanzania kwa kipindi cha miaka kumi tu) kwa jicho la Tatu!Tufumbe mamcho na tuangalie uwezekano wa kumpa vipindi viwili vya miaka 5x4=20!
 
Synthesizer katika printing ni dawa ambayo ukipaka katika screen ile artwork inakuwa ngumu kufutika na inafanya ibaki kwa muda mrefu.Sasa nikilinganisha na mada yako naona........ah ishia hapo hapo mkuu!
 
Sasa ni vyema ukarejea kwenye thread yako ya huko nyuma Tanzania sasa ni kujichukulia sheria mkononi kuanzia Rais hadi wananchi?

Je bado una msimamo ule ule au umebadilika. Miaka zaidi ya kumi siyo mchezo. Sikuwa alivyoanza leo ataweza kumaintain for the next 10 years. Ideas na uwezo hubadilika kutokana na circumstances zilizopo!! Ila inawezekana kabisa ili kuachieve mipango yake hii ndiyo kaiona ni route muafaka!!

Hahaha!Mkuu, nadhani sasa ninaweza kuwajibu wengi wanaodhani mie niko upande wa vyama vya upinzani kwamba si kweli. Kwangu mie la msingi ni Tanzania, sio CCM wala upinzani.

Utaona kwamba nilipoandika hii thread nilisema wazi kwamba kulikuwa na mambo ambayo sikubaliani kabisa na Magufuli, na hata alinuidhi katika hayo. Nilisema kwa wakati huo mazuri ya Magufuli yalikuwa mengikuliko mabaya yale. Nadhani labda sasa niseme kwamba mabaya ya mazuri na mabaya ya Magufuli yako sawa, 50/50.

Ukweli ni kwamba Magufuli anahitaji kujirekebisha katika maeneo machache sana ili awe raisi kipenzi kwa Watanzania wote. KUbwa ya hayo ni kutowahujumu na kuwanyanyasa viongozi wa upinzani, na pia kufuata utawala wa sheria. Akifanya haya we have the best president we could ever wish for.

Na pia bado nitasimamia ukweli kwamba huwezi kuibadili Tanzania kwa pale ilipofikia kwa kipindi cha miaka 10. Ndio maana nikasema, kama ikibidi, katika safari ya kuibadili Tanzania, ikibidi, CCM waungane na vyama vya upinzani.
 
Synthesizer katika printing ni dawa ambayo ukipaka katika screen ile artwork inakuwa ngumu kufutika na inafanya ibaki kwa muda mrefu.Sasa nikilinganisha na mada yako naona........ah ishia hapo hapo mkuu!
Hapana Mkuu, hujanielewa tu. Lazima unitazame mie katika context kwamba sina upande wowote wa chama cha kisiasa. Na kusema kwamba kila analofanya Magufuli ni baya sio kumtendea haki. Lakini pamoja na mazuri yake ambayo nayakubali, kuna mengi ambayo mie ni critic wake mkubwa. Hili nililiweka wazi sana. Nimemsema Magufuli katika issue za kuhujumu na kunyanyasa vyama vya upinzani, katika suala la mimba za wanafunzi, katika kuwapa uwezo wakuu wa wilaya na mikoa kuweka ndani watu bila sababu za msingi nk. Nimetoa ushauri kwa Magufuli kuheshimu sheria na katiba, na hata kuuliza hatua gani zinapaswa zichukuliwe ikiwa yeye kama raisi anaonekana anakiuka kwa makusudi katiba aliyoaa kuilinda.

Mimi ninachojali ni Tanzania, sina mapenzi na CCM wala Chadema, Magufuli au Lowasa, na nitajitahidi kueleza ukweli kama ulivyo, kutia ndani na ukweli niliojaribu kuueleza katika post hii.

Nimefafanua vizuri kwenye post yangu hapo juu kumjibu Mkuu Mr. Zero.
 
Now faith is being sure of what we hope for & certain of what we do not see. -Hebrews 11:1"
 
Kama tunaweza kupeleka miswada mitatu kwa ''hati ya dharura'' na kuipitisha ndani ya siku tatu, anahitaji kweli miaka 10 yote ''kuibadirisha'' Tanzania? does he even know what he needs to change (kubadilisha) anyway? Kama tunamuona yeye kama Messiah na tunadhani anaweza kubadilisha vitu vingi individually bila kuwa na institutions imara, then we are doomed for life and we deserve to be so.
 
Back
Top Bottom