Ili Simba ifuzu Robo Fainali, matokeo ya timu zote yaweje?

Amefungwa aliyeruhusu goli 3 michezo yote itakuwa Vita ?Kama kawaida utarukia timu nyingine ya kushabikia.
Mtajiita majina mengi sana.
Kwa Mahitaji ya game sioni Simba kama wanaweza kuhimili vishindo japo mpira unayake ila timu ikiamua kucheza bila kujilinda Simba haiwezi kuhimili vishindo na lile pazia golini
Kwanini ushauri huu usimpe Zahera kabla ya tarehe 16 Februari uone matokeo yake?
Alishambulia Nkana najua unajua kilichompata.
 
Utaelewa baadaye saizi huwezi kuelewa
 
Kama wewe ulivyoelewa tarehe 16 Februari .
Wewe Una utaalamu kuliko Zahera?
Michezo yote kapaki basi.
Kinachokusumbua ni chuki na husda.Huu ni mwanzo tu Kwani sasa hivi mkifungwa moja mnafanya maandamano ya kusheherekea. Baada ya usajili msimu ujao mkifungwa 3 mtashangilia. That is a promise.
 
Kwahiyo Wewe hapo umechambua? Mahitaji ya game zilizopita na saizi ni tofauti,umbumbumbu usikufanye uwe mgumu kuelewa
Hamna utofauti subiri nikuelekeze kitu chura wewe....As Vita msimu uliopita walifungwa 3-0 na Raja Casablanca katika first match ya final ya shirikisho kwaio mechi ya pili walikua Wanamahitaji makubwa kushinda kuliko mechi ya Simba wiki ijayo ila kilichotoke Raja Casablanca walitangulia kufunga goli mapema kinyume na matarajio yao angalau baadae walikuja kushinda 3-1 lakin ilikua kinyume na matarajio yao na waliukosa ubingwa nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya endelea kuandika essay tu
 
Na wewe endelea kuwanga. Ulianza kuwanga dhidi ya Mbabane,Nkana,Sourra, AL Ahly na sasa Vita.
Tembea uchi kabisa. UWANGE usiku mzima.
 
Warning: Usiende na matokeo uwanjani please, afya yako ni ya muhimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri Al Ahyl mngecheza nao usiku mngewafunga?? Vita mnacheza nao usiku..Mkude hayupo..Okwi sijui kama amepona ...Mechi ngumu sana ..husifanamishe Waarabu Na Wacongo..mchezaji mmoja mmoja Vita wanavipaji zaidi..Ila Mikia atashinda mipafyumu,fitna Na Refa
 
kitu ambacho hakiwezekaniki ni hiki wale wakongo wanapiga mpira jamani, acheni tuu...
 
kitu ambacho hakiwezekaniki ni hiki wale wakongo wanapiga mpira jamani, acheni tuu...
Hakuna cha kupiga mpira mkuu,hizi timu kwenye hili kundi zote zimepiga mpira zikiwa kwenye viwanja vya nyumbani. Zikiwa nje zimechezea kichapo. Huyu unayemsifia hata nyumbani alitoa sare wakati mnyama nyumbani kashinda mechi zote. Km angekuwa ana timu bora km unavyomsifia leo angekuwa na pointi 9. Maana kacheza mechi 3 nyumbani. Al ahly na Simba tu ndo bado hawajapoteza nyumbani labda wapoteze jmosi ijayo. Me nakuhakikishia wakongo wanakufa 2 pale kwa mchina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…