Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ushauri huu usimpe Zahera kabla ya tarehe 16 Februari uone matokeo yake?Kwa Mahitaji ya game sioni Simba kama wanaweza kuhimili vishindo japo mpira unayake ila timu ikiamua kucheza bila kujilinda Simba haiwezi kuhimili vishindo na lile pazia golini
Utaelewa baadaye saizi huwezi kuelewaAmefungwa aliyeruhusu goli 3 michezo yote itakuwa Vita ?Kama kawaida utarukia timu nyingine ya kushabikia.
Mtajiita majina mengi sana.
Kwanini ushauri huu usimpe Zahera kabla ya tarehe 16 Februari uone matokeo yake?
Alishambulia Nkana najua unajua kilichompata.
Hebu weka vizuri hapo bwana, Al Ahly akitoa sare na Js Soura anapita yeye na Soura endapo tu Simba na As Vita nao watatoa sareVita na simba wakitoka sare wote watakuwa wametolewa.
Game ya dar kila timu inahitaji ushindi al ahly akitoa sare naye atakuwa ametoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiulize pia nyumbani nimeruhusu goli ngapi. Subir nitakufurahisha j'mosi mkuu. Wtz watatembea kifua mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
YeahHebu weka vizuri hapo bwana, Al Ahly akitoa sare na Js Soura anapita yeye na Soura endapo tu Simba na As Vita nao watatoa sare
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba. Kumbuka kila timu ikiwa nyumbani inakua na makeke yake. Kwa mkapa nakuhakikishia Ac vita watakua kama namungo fc lazima wachezee bakora.Mpira waliocheza As Vita Jana na beki zile za kina wawa naziona zile tano zinarudi tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna utofauti subiri nikuelekeze kitu chura wewe....As Vita msimu uliopita walifungwa 3-0 na Raja Casablanca katika first match ya final ya shirikisho kwaio mechi ya pili walikua Wanamahitaji makubwa kushinda kuliko mechi ya Simba wiki ijayo ila kilichotoke Raja Casablanca walitangulia kufunga goli mapema kinyume na matarajio yao angalau baadae walikuja kushinda 3-1 lakin ilikua kinyume na matarajio yao na waliukosa ubingwa nyumbaniKwahiyo Wewe hapo umechambua? Mahitaji ya game zilizopita na saizi ni tofauti,umbumbumbu usikufanye uwe mgumu kuelewa
Haya endelea kuandika essay tuHamna utofauti subiri nikuelekeze kitu chura wewe....As Vita msimu uliopita walifungwa 3-0 na Raja Casablanca katika first match ya final ya shirikisho kwaio mechi ya pili walikua Wanamahitaji makubwa kushinda kuliko mechi ya Simba wiki ijayo ila kilichotoke Raja Casablanca walitangulia kufunga goli mapema kinyume na matarajio yao angalau baadae walikuja kushinda 3-1 lakin ilikua kinyume na matarajio yao na waliukosa ubingwa nyumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Warning: Usiende na matokeo uwanjani please, afya yako ni ya muhimu sana.Acha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio maadui (Opponents)wapinzani..kama nchi tuna mahusiano mazuri Na DRC..wanapitisha sana mizigo yao kwenye bandari yetu..Mimi naangalia upande wangu, siyo wa maadui.
Unafikiri Al Ahyl mngecheza nao usiku mngewafunga?? Vita mnacheza nao usiku..Mkude hayupo..Okwi sijui kama amepona ...Mechi ngumu sana ..husifanamishe Waarabu Na Wacongo..mchezaji mmoja mmoja Vita wanavipaji zaidi..Ila Mikia atashinda mipafyumu,fitna Na RefaAcha chuki pembeni chambua mpira hivi As Vita na Al Ahly wachezaji gani wenye experience? Embu muwe mnajua ABC za Mpia sio kubisha bisha tuu.....Al Ahly wamekuja Dar es salaam na mchezaji ambae ametoka ligi ya uingereza ambaye wamemchukua kwa mkopo na akawa nazurula tuu.. narudia Tena soka la Africa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio maadui (Opponents)wapinzani..kama nchi tuna mahusiano mazuri Na DRC..wanapitisha sana mizigo yao kwenye bandari yetu..
kitu ambacho hakiwezekaniki ni hiki wale wakongo wanapiga mpira jamani, acheni tuu...Hesabu mbona ni rahisi tu,ili Simba afuzu,anahitaji kushinda tu mechi ya mwisho. Simba akishinda mechi As vita moja kwa moja atakuwa amefuzu.
Mechi ya waarabu itakuwa ni ya kuangalia tu nani atafuzu wa kwanza. Lkn matokeo yoyote hayataiathiri Simba iwapo itashinda. Yaani Simba ili Afuzu narudia tena lazima ashinde na akishinda anafuzu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha kupiga mpira mkuu,hizi timu kwenye hili kundi zote zimepiga mpira zikiwa kwenye viwanja vya nyumbani. Zikiwa nje zimechezea kichapo. Huyu unayemsifia hata nyumbani alitoa sare wakati mnyama nyumbani kashinda mechi zote. Km angekuwa ana timu bora km unavyomsifia leo angekuwa na pointi 9. Maana kacheza mechi 3 nyumbani. Al ahly na Simba tu ndo bado hawajapoteza nyumbani labda wapoteze jmosi ijayo. Me nakuhakikishia wakongo wanakufa 2 pale kwa mchina.kitu ambacho hakiwezekaniki ni hiki wale wakongo wanapiga mpira jamani, acheni tuu...