Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....
Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa kwenye mambari matakatifu...
Je kama wangesema NO REFORM NO ELECTION..... wangeonekanajeee.
Mwisho japo siyo Kwa ulazima ukiongea Ambayo watawala wetu wanayapenda haujaongea siasa kwenye madhabau...ila ukiongea Ambayo watawala hawayapende umeongelea siasa kwenye madhabau na hatua
Kali zitachukuliwa dhidi ya ilo Dhehebu