Ili swala la kuongea siasa kwenye nyumba za ibada Lina utata...ebu tafakari kidogo

Ili swala la kuongea siasa kwenye nyumba za ibada Lina utata...ebu tafakari kidogo

Siasa inaongelewa popote. Siasa ndio maisha ndio Kila kitu. Asikudanganye mtu eti usichanganye dini na siasa. Anakuzuia usihoji juu ya maisha yako
 
Viongozi wa dini kuongelea utawala wa haki ni siasa, kwasasa utekaji umeshamiri viongozi wa dini wakikemea utekaji wanaongelea siasa ila viongozi wa dini waseme utekaji hoyee ndiyo CCM wanafurahia

Kupiga kukura siyo siasa ila wanasiasa unatakiwa uwasikilize hata wakisema uongo ama kushindwa kutimiza majukumu Yao na ahadi zao

CCM kimekuwa ni chama cha hovyo sana kwassa
 
HAKI inaambatana na imani ya dini, kama huna imani ya dini huwezi kuongea na kutenda HAKI, utaishia kuongekea amani tu. Kumbuka bila HAKI hakuna amani, hiyo hata moyoni tu utaiona ila utajifanya kutokuona.
 
Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....

Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa kwenye mambari matakatifu...

Je kama wangesema NO REFORM NO ELECTION..... wangeonekanajeee.

Mwisho japo siyo Kwa ulazima ukiongea Ambayo watawala wetu wanayapenda haujaongea siasa kwenye madhabau...ila ukiongea Ambayo watawala hawayapende umeongelea siasa kwenye madhabau na hatua

Kali zitachukuliwa dhidi ya ilo Dhehebu
No reforms no election
 
Kupiga kura ni siasa ? Kwani unaelewa hata unachokiandika ?
Uwanjani kuna watu kama wewe aina hii
IMG_1511.jpeg
 
Kupiga kura ni siasa ? Kwani unaelewa hata unachokiandika ?
Mi nadhani wewe ndo humuelewi. Unachotakiwa kuelewa hapa ni matumizi ya maneno au vitendo kulingana na muktadha (context).

Kupiga kura kumchagua kiongozi wa chama cha siasa hiyo ni siasa kwa sababu anaemia kura lazima awe na upande wa siasa anayopenda ya chama husika. In short mpiga kura lazima awe na mapenzi na chama husika.

Juzi kati huko Vatican maaskofu walipiga kura kimchagua kiongozi wa imani yao. Hapo hapakuwa na siasa maana aliekuwa anapigiwa kura hakuwa na chama bali imani ya dini husika. Ndo maana kiongozi huyo hana ukomo wa kuongoza km viongozi wa siasa labda kitokee kifo au matatizo ya kiafya yanayoweza kusababisha kutokuendelea na kazi yake au sababu nyingine nyeti.

Nafikiri nimekuelimisha vyakutosha, sihitaji mjadala kwa hili km hujaelewa bora tu usubiri wengine waje wakuelimishe.

NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
 
Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....

Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa kwenye mambari matakatifu...

Je kama wangesema NO REFORM NO ELECTION..... wangeonekanajeee.

Mwisho japo siyo Kwa ulazima ukiongea Ambayo watawala wetu wanayapenda haujaongea siasa kwenye madhabau...ila ukiongea Ambayo watawala hawayapende umeongelea siasa kwenye madhabau na hatua

Kali zitachukuliwa dhidi ya ilo Dhehebu
BAKWATA ni ccm
 
Mi nadhani wewe ndo humuelewi. Unachotakiwa kuelewa hapa ni matumizi ya maneno au vitendo kulingana na muktadha (context).

Kupiga kura kumchagua kiongozi wa chama cha siasa hiyo ni siasa kwa sababu anaemia kura lazima awe na upande wa siasa anayopenda ya chama husika. In short mpiga kura lazima awe na mapenzi na chama husika.

Juzi kati huko Vatican maaskofu walipiga kura kimchagua kiongozi wa imani yao. Hapo hapakuwa na siasa maana aliekuwa anapigiwa kura hakuwa na chama bali imani ya dini husika. Ndo maana kiongozi huyo hana ukomo wa kuongoza km viongozi wa siasa labda kitokee kifo au matatizo ya kiafya yanayoweza kusababisha kutokuendelea na kazi yake au sababu nyingine nyeti.

Nafikiri nimekuelimisha vyakutosha, sihitaji mjadala kwa hili km hujaelewa bora tu usubiri wengine waje wakuelimishe.

NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORMS NO ELECTION
Wewe unaonesha mlengo wa KI'CHADEMA ,ni kawaida yenu kupiga kelele hamna mtakachofanya ,waoga nyie mbwa koko 😂😂😂
 
NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.
Mkuu Channel Ten Sa hv wameweka hizi namba 0758228998 kupokea ujumbe wa maneno.. Sasa Wajaze na Motto
 
Unampigia kura mwanasiasa, why kupiga kura isiwe siasa? Vipi kwa upande wako, kukemea utekaji ni siasa?
Kupiga ni haki ila sio siasa , kupiga kwa wanaopenda ...Siasa ni utapeli wa drama zenu.
 
NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.

NO REFORMS , NO ELECTION.
Noma sana
 
Back
Top Bottom