Makongodcrue
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,864
- 2,591
We una mchango gani tofauti na kuimba mapambio tu?Kiufupi hamna mchango kwenye nchi😂😂 mlikuwa mmekimbia mmeanza tena vurugu ?
We una mchango gani tofauti na kuimba mapambio tu?Kiufupi hamna mchango kwenye nchi😂😂 mlikuwa mmekimbia mmeanza tena vurugu ?
Mapambio yapi tena ? Wewe muoga unapiga kelele huko si ukawapigie huko barabarani 😂😂We una mchango gani tofauti na kuimba mapambio tu?
Nipo barabarani sana tu, mstari wa mbele kabisa.Mapambio yapi tena ? Wewe muoga unapiga kelele huko si ukawapigie huko barabarani 😂😂
Hapana mimi ni msomi niliefundishwa nikaelewa na kujitambua. Sina chama walk kadi ya chama chochote ila najaribu kutumia elimu yangu vizuri siyo kwa kufuata mkumbo au ushaabiki.Wewe unaonesha mlengo wa KI'CHADEMA ,ni kawaida yenu kupiga kelele hamna mtakachofanya ,waoga nyie mbwa koko 😂😂😂
Mada ipo sawa unajua tangu enzi za utawala wa kirumi ilikuwa ili mamlaka ziheshimiwe lazima dini na watawala wa Dola wawe kitu kimoja. Ukimponda mtawala mbele ya waumini wako ambao ni watawaliwa unamfanya mtawala awe na KAZI ngumu kutawala "Tunaelewa hivyo"Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....
Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa kwenye mambari matakatifu...
Je kama wangesema NO REFORM NO ELECTION..... wangeonekanajeee.
Mwisho japo siyo Kwa ulazima ukiongea Ambayo watawala wetu wanayapenda haujaongea siasa kwenye madhabau...ila ukiongea Ambayo watawala hawayapende umeongelea siasa kwenye madhabau na hatua
Kali zitachukuliwa dhidi ya ilo Dhehebu