Kuna Yule aliyeripotiwa na Malaria kwamba alihubiri amani amani mwishoni aksema kuhusu Hakina Msiniulize....hahahaLeo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....
Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa kwenye mambari matakatifu...
Je kama wangesema NO REFORM NO ELECTION..... wangeonekanajeee.
Mwisho japo siyo Kwa ulazima ukiongea Ambayo watawala wetu wanayapenda haujaongea siasa kwenye madhabau...ila ukiongea Ambayo watawala hawayapende umeongelea siasa kwenye madhabau na hatua
Kali zitachukuliwa dhidi ya ilo Dhehebu
Hehehe......Ukikosoa ni mhainiUkisifia ni demokrasia
Ukiponda ndio siasa
Tena siasa mbayaHivi kukemea utekaji na mauaji ya raia ni siasa eh?
ila kura mnaenda kuombea kwenye nyumba za ibada, kusifiwa mnapenda msifiwe mle na mpewe viti vya mbele, ila kukosolewa hamtaki. hauoni kuwa huo ni unafiki?Leo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....
Mbona hao hawasemwi kuwa wanahubiri siasa kwenye mambari matakatifu...
Je kama wangesema NO REFORM NO ELECTION..... wangeonekanajeee.
Mwisho japo siyo Kwa ulazima ukiongea Ambayo watawala wetu wanayapenda haujaongea siasa kwenye madhabau...ila ukiongea Ambayo watawala hawayapende umeongelea siasa kwenye madhabau na hatua
Kali zitachukuliwa dhidi ya ilo Dhehebu
Wewe ndio hujaelewa unarukia tuu, tafakariKupiga kura ni siasa ? Kwani unaelewa hata unachokiandika ?
Wewe ndiye hujui ulichokiandika!!, kura inatokana na mchakato wa siasa majukwaani!.Kupiga kura ni siasa ? Kwani unaelewa hata unachokiandika ?
Wewe hutaki kuelewa ,kuwaambia watu kushiriki uchaguzi kuna tatizo gani? Kwani wameambiwa wachagua chama fulani..Kama nyie hamtaki kushiriki basi pambaneni na slogan yenu.Wewe ndio hujaelewa unarukia tuu, tafakari
Machafuko yapo tayari Mzee kibao walimfyonza macho, Soka na Mdude wako wapi? Hayo nani kaanzisha?Wewe hutaki kuelewa ,kuwaambia watu kushiriki uchaguzi kuna tatizo gani? Kwani wameambiwa wachagua chama fulani..Kama nyie hamtaki kushiriki basi pambaneni na slogan yenu.
Hatutaki machafuko.
Mzee kibao ana mlengo wa siasa ni CHADEMA ,chama cha wachaga so hatuna ushahidi na tukio...We can neither be manipulated nor fooled ,hatukurupuki wala kushutumu mtu ...Vyama vyote vya siasa michezo yao inafahamika.Machafuko yapo tayari Mzee kibao walimfyonza macho, Soka na Mdude wako wapi? Hayo nani kaanzisha?
Hizo reforms tunazotaka, unafikiri kuna fala atapiga kura iibiwe!
NO REFORMS NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION📌Wewe hutaki kuelewa ,kuwaambia watu kushiriki uchaguzi kuna tatizo gani? Kwani wameambiwa wachagua chama fulani..Kama nyie hamtaki kushiriki basi pambaneni na slogan yenu.
Hatutaki machafuko.
Uchaguzi upo hata bila reformsLeo siku ya siku ya Eid Al Adha karibu viongozi wote wa dini wameongea siasa kwenye mahubili ya swala zao maani woto wameongelea jambo la uchaguzi mkuu wa October kuwa uko palepale na wamesisitiza wananchi waende wakachague wala wasitumike vibaya.....